Hire Builders

TZ
From TZS 20,000/day
Goba
5 months
Mini ni fundi wakupiga finishing Kwa nyumba zote Kwa kutumia ujuzi na uzoefu mkubwa kutoka kwetu
Door Installation Gate Installation Glazing Window Installation
TZ
From TZS 15,000/day
dar
5 years
mimi ni fundi mwenye uzoefu katika uwekaji wa njia za maji taka pamoja na njia za maji safi kwa ajili ya jikoni au majia kwaajili ya kuflashi chooni nina uzoezo wa miaka zaidi ya mitano
Plumbing
TZ
From TZS 40,000/day
Arusha
14 years
Mimi ni fundi wa kupaua nyumbani yaani kufanya roofingi kwa kutumia mabati aina zote kama msauzi na mabati ya kawaida kwenye nyumba aina zote
Sheet Roofing Shingle Roofing Tile Roofing
TZ
From TZS 20,000/day
Njombe mji
7 years
Mimi ni fundi welding mwenye uzoefu wa miaka saba katika kazi ya welding, na miaka minne maalum katika PVC na alumini. Nimebobea katika ufungaji, matengenezo, na ukarabati wa vifaa vya PVC na alumini kwa uangalifu wa hali ya juu. Uzoefu wangu unaniwezesha kutoa suluhisho za ubora, kuhakikisha usalama wa kazi, na kutatua matatizo kwa ufanisi. Nina dhamira ya kutoa huduma bora na kuhakikisha kuridhika kwa wateja kwa matokeo yenye nguvu na ya kudumu.
Welding Window Installation
TZ
From TZS 30,000/day
Kinondoni
8 years
Ninapaka na kupendezesha nyumba aina zote kwa rangi nzuri na za kudumu ndani na nje ya nchi kwa gharama nzuri
Painting
TZ
From TZS 40,000/day
mwanza
7 years
Mimi ni fundi wa kufanya plumbing kwenye nyumba yako kwa kuzingatia matumizi mazuri ya vifaa ambavyo viatakuhakikishia ubora na kudumu kwa muda mrefu nina uzoefu wa zaidi ya miaka 7 na nimefanya kazi nyingi mwanaza na nje ya mkoa wa mwanza na pia katika taasisi za serekeli kwenye majumb na maofisini na kazi zilikuwa ora kabisa kwa beipoa kabisa
Plumbing
TZ
From TZS 40,000/day
Temeke
9 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wakutosha kwenye swala zima la uwekaji wa mifumo ya umeme kwani nina uelewa wa kutosha kuhusu swala zima la ufungaji wa bomba za umeme na uwekaji wa box pamoja na kuweka wiring kwenye nyumba Kwa kutumia design za kisasa zaidi
Wiring
TZ
From TZS 30,000/day
Nyakato
9 years
Fundi wa bomba za maji safi na maji taka katika nyumba aina zote.
Plumbing
TZ
From TZS 40,000/day
Mkuranga
17 years
Mimi ni fundi ujenzi mwenye uzoefu na niliye bobea kwenye swala zima la kuchimba msingi wa nyumba na kujenga hadi kwenye linta pamoja na kupiga plaster Kwa kutumia vipimo na vifaa pia nina toa ushauri bure Kwa mteja wangu kulingana na aina ya nyumba anayo itaka Kwa kuzingatia ukubwa wa eneo lake
Building Setting Out Plastering
TZ
From TZS 40,000/day
Temeke
11 years
Mimi ni fundi mkongwe ambaye nime bobea katika swala zima la uwekaji wa tiles pia nina toa huduma bora kabisa na kisasa Zaidi, mteja kwetu ni mfalume na nina hakikisha ana ridhika na kazi zangu
Tiling
TZ
From TZS 30,000/day
Mbarali
4 years
Mimi ni fundi ninaye husika na upigaji wa mabati katika nyumba yako ni kwa mabati aina zote kam vile mgongo mpana na vigae na tunafika popote ndan ya tanzania na bei zetu ni nafuu kabisa na uaminifu ndo kipaombele chetu tukiwa kazini
Sheet Roofing Shingle Roofing Tile Roofing
TZ
From TZS 30,000/day
Kinondoni
16 years
Natengeneza madirisha na milango ya aluminium pamoja na vioo kwa gharama nafuu katika nyumba na maofisi
Window Installation
TZ
From TZS 30,000/day
Temeke
7 years
Nina jenga mabanda ya kuku kwa kuzingatia ubora wa hali ya juu pia nina uzoefu wakutosha katika swala zima la ujenzi wa mabanda na kuhakikisha mteja wangu ana ridhika na kazi yangu pia nina tumia vipimo ambavyo vina niwezesha katika ujenzi wa banda.
Building Designing
TZ
From TZS 20,000/day
Town
1 Years
No Skill Listed
TZ
From TZS 30,000/day
Kigamboni
8 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wakutosha na nime bobea kwenye uezekaji wa mapaa Kwa kutumia ubunifu na kuzingatia njia za kisasa na kuliacha paa lako liki pendeza kabisa.
Sheet Roofing Shingle Roofing
TZ
From TZS 45,000/day
Ubungo
10 years
Fundi mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 9 katika ufundi bomba na uashi. Amepata mafunzo katika vyuo vya VETA na Arusha Technical College. Ana sifa kubwa kwa ubora wa kazi zake Dar es Salaam.
Plumbing Masonry Drainage Installation Septic Installation
TZ
From TZS 50,000/day
Ukonga
20 years
Fundi hamisi fundi wa dizaini kwenye nyumba yako finishing ya kibabe finishing aina yote ya gypsum painting ya rangi kwa nje wall decoration
Gypsum Decoration Drywall Installation
TZ
From TZS 50,000/day
Goba
6 years
Mimi ni fundi ninaye husika na finishing ya nyumba yako kwanzia kwenye plastering simmimg painting na urembo kwenye nyumbba yako kwa bei nafuu na kwa ubora na uzoefu mkubwa kabisa katika kazi hii ninauzoefu za miaka 6 katika kazi hizi pia nimefanya kazi nyingi na watu na watu wamezikubali kazi zangu
Painting Plastering
TZ
From TZS 40,000/day
Irugus
5 years
Mimi ni fundi wa kuweka tilis katika nyumba yako kwa kuzingztia ubora wa kweli na kwa uzoefu na uaminifu mkubwa na kwa kuzingatia ubora na uzoefu wa zaidi ya miaka mitano
Tiling
TZ
From TZS 50,000/day
Kigamboni
10 years
Mimi ni fundi niliye bobea kwenye uwekaji wa tiles pamoja na urembo Kwa kutumia tiles, Nina uzoefu wa kutosha pia nina tumia vipimo ili kuhakikisha nyumba ina kuwa na muonekano mzuri na ushauri ni bure kabisa Kwa wateja wangu kuhusiana na aina ya tiles mteja anayotaka kutumia
Tiling
TZ
From TZS 30,000/day
kigamboni
4 years
Fundi wa kuweka paving blocks katika nyumba mbalimbali nchini Tanzania na nje ya nchi kwa gharama nzuri.
Paving
TZ
From TZS 40,000/day
Bukoba
9 years
Ninaweka tiles katika nyumba mbalimbali, ghorofa, ukuta, vyoo, pamoja na makaburi kwa gharama nzuri.
Tiling
TZ
From TZS 30,000/day
Ubungo
8 years
Natengeneza vyungu vya maua, pamoja nakutengeneza bustani katika nyumba, ofisi, hotel na maeneo mbalimbali.
Gardening
TZ
From TZS 40,000/day
Kigamboni
15 years
3 months
Mimi ni fundi ninaye jishunghulisha na swala zima la upauaji wa Mapaa ya nyumba kwa kutumia mabati ya aina mbali mbali kama vile Msouth migongo mipana na midogo pia tuna ezeka Mapaa ya kuchimbia (hidden roof) kwa njia ya kisasa na ubora wa hali ya juu.
Sheet Roofing Shingle Roofing Tile Roofing
TZ
From TZS 30,000/day
Temeke
11 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wa kupiga plasta za nyumba na kuweka urembo Kwa kutumia cement na mchanga Kwa ubora wa hali ya juu na kisasa zaidi
Plastering
TZ
From TZS 50,000/day
Kigamboni
18 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wa kutosha katika swala zima la utengenezaji wa gypsum board na uwekaji wa urembo kwenye gypsum board nyumbani na mahotelini Kwa kutumia mbao na gypsum,nina tengeneza sehemu kama vile sebuleni(sitting room), jikoni(kitchen),chumbani,TV show cases pia na fika mikoa yote kutoa huduma hii ndani ya Tanzania na nchi jirani za Africa Kwa ubora na ubunifu wa kisasa na toa ushauri bure kabisa.
Gypsum Decoration Structural Designing
TZ
From TZS 30,000/day
Ubungo
14 years
4 months
Mimi ni mtaalam wa kutengeneza vyoo vya kisasa usisumbuke na karo la Maji Taka kamwe! Tuna mfumo bora wa kisasa wa choo usiojaa (BIODIGESTERS) ambao ni mfumo badala wa Mashimo ya kawaida ya choo! (septics and soakpits) Mfumo huu wa kisasa una sifa zifuatazo :- 1. haujai kamwe 2. hakivutwi – hakiitaji kunyonywa na motokaa (boza) 3. hakina harufu 4. Kinatumia eneo ndogo (small space) 4. Vina guarantee na vinafanywa na wataalam 5. Vinafanya vyema hata kwenye chemi chemi 6. Vina muonekano mzuri (vinapendeza kweli) 7. Unafanya vyema hata kwa manyumba makubwa yenye idadi kubwa ya watu. Tunatoa huduma kwa kila mtanzania kokote uliko tunakufikia.
Biogas Installation
TZ
From TZS 40,000/day
Nyamagana
16 years
Mimi ni fundi wa kuweka rangi za aina mbali mbali kwenye nyumba na kuacha ikiwa na mvuto mzuri wa kuvutia nina tumia rangi aina ya drewa, decor,Niko tekx pia na paka rangi za kawaida kwenye nyumba na kuacha nyumba ikipendeza
Color Mixing Plastering
TZ
From TZS 40,000/day
Mpwapwa
23 years
Mimi ni mtaalam wa kupaka rangi majumbani kwa kuzingatia ubora wa kisasa na kwa kuzingatia umakini wa hali ya juu pia nina ambatana na mafundi wenye uzoefu na walio bobea kwenye swala zima la upakaji wa rangi na kuhakikisha mteja ana ridhishwa na kazi zetu pia tuna zingatia muda wa kuanza na kukabidhi kazi kama tulivyo kubaliana na mteja wetu.
Painting
TZ
From TZS 30,000/day
Ubungo
30 years
Mimi ni fundi ujenzi wa biogas natengeneza bio gesi kwa muda mrefu na uzoefu zaidi ya miaka thelathini katika kazi yangu kwa hiyo usisite kuja kutengeneza bayo gesi na mimi kwa uzoefu rafiki wa mazingira tunafika popote na bei ni nafuu kabisa
Biogas Installation
TZ
From TZS 40,000/day
Kigamboni
14 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wakutosha Nina ujuzi wa kuezeka Mapaa kwenye nyumba Kwa kutumia mabati ya aina tofauti tofauti na kuacha paa lako likiwa na mvuto mzuri.
Sheet Roofing Shingle Roofing Tile Roofing
TZ
From TZS 30,000/day
Ubungo
11 years
Mimi ni fundi niliye bobea kwenye utengenezaji wa fremu na milango Kwa kutumia mbao ngumu kama vile mninga na mkongo kwa njia ya kisasa na Kwa gharama na fuu sana
Wood Work
TZ
From TZS 30,000/day
Morogoro
15 years
Fundi mwenye uzoefu katika ujenzi pia nime pitia mafunzo ya veta na kupata ujuzi wa hali ya juu na kwa kupitia elimu hii nimeweza kuwa na ubunifu wa hali ya juu katika swala zima la ujenzi na pia kwa kazi hizi naweza kukifikia popote pale nchini.
Gypsum Decoration Building Designing
TZ
From TZS 40,000/day
Kigamboni
12 years
Mimi ni fundi ninaye jishunghulisha na utengenezaji pamoja na uwekaji wa milango ya aluminium Kwa ubora na kisasa zaidi ,Nina uzoefu mkubwa wa kufanya kazi hii na Nina fika mikoa yote ya Tanzania na nchi jirani za Africa
Door Installation Glass Tinting Window Installation
TZ
From TZS 30,000/day
Ilala
8 years
Mimi ni fundi umeme wa majumbani na maofisini katika kufanya wiring, kurekebisha penye tatizo na kufunga taa za aina zote
Electrical Troubleshooting Electricity Safety Wiring
TZ
From TZS 10,000/day
Town
15 years
Kwa uwekaji wa njia za maji kwenye nyumba Yako au Kwa ubora wa Hali juu Kwa kitumia vifaa inara na njia za kisasa kabisa
Plumbing
TZ
From TZS 20,000/day
Town
1 Years
No Skill Listed
TZ
From TZS 40,000/day
Kinondoni
9 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wakutosha na ujuzi wa kisasa nina tumia ubunifu ambao inanisaidia kumpatia mteja kile anacho kihitaji pia nina tumia vifaa vyangu ambavyo vina nisaidia kwenye swala la ukataji wa tiles.
Tiling
TZ
From TZS 10,000/day
Town
15 years
Tunahakikisha nyumba Yako haito vuja Kwa upauaji Bora kutoka kwetu tuna paua mabati ya aina tofauti tofauti Kwa nyumba zote na maghorofa
Sheet Roofing Shingle Roofing Tile Roofing
TZ
From TZS 30,000/day
Ilala CBD
10 years
Mtaalam wa ufungaji wa taa za umeme wa jua majumbani na kwenye uzio wa nyumba(fence) pia nina funga taa kwenye bustani ambazo Zina tumika kama mapambo pia tuna kuuzia vifaa ambavyo ni imara kabisa na vinavyo dumu Kwa muda mrefu
Welding Wiring Waterproofing
TZ
From TZS 50,000/day
Kinondoni
4 years
A developer with expertise in designing, developing, and installing smart home systems. He specializes in creating IoT solutions tailored to real-world challenges, ensuring practical and efficient operation. As the founder of Quantum Intelligence, Mgasa applies his skills to innovate in the smart home industry, delivering advanced and customized automation systems.
Wiring Smart Homes
TZ
From TZS 40,000/day
Temeke
11 years
Mimi ni mtaalam wa kuweka tiles majumbani Kwa kuzingatia ubora wa kisasa na niko na uzoefu wa kutosha katika swala zima la uwekaji wa tiles majumbani na maofisini pia nina msikiliza mteja Kwa kile anacho kihitaji na nina hakikisha kazi inakuwa ya viwango vya hali ya juu.
Tiling
TZ
From TZS 20,000/day
Kigamboni
7 years
Bustani nzuri ya maua inapendezesha nyumba kuwa na muonekano mzuri na wa kuvutia kwa maua mbalimbali
Gardening
TZ
From TZS 30,000/day
Chemba
11 years
Nina toa huduma ya ujenzi wa mabanda ya kuku wa kienyeji na kuku wa kisasa kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa na kufanya banda lako livutie pia nina uzoefu wa kutosha kwani nimesha tengeneza mabanda ya aina nyingi sehemu nyingi na kwa kuzingatia ubora na mabanda yana dumu kwa muda mrefu.
Building Designing
TZ
From TZS 20,000/day
Goba
8 years
4 months
Mini ni fundi wakutengeneza nyumba Kwakuzingatia ujuzi na ubunifu wa kisasa pia nina uzoefu wakutosha katika shughuli zangu za ujenzi na nina hakikisha nyumba ina kuwa yenye ubora wa hali ya juu na nina mpatia mteja wangu kile anacho kihitaji, pia nina ambatana na mafundi ambao wame bobea katika shuguli za ujenzi wa nyumba na kuhakikisha kazi ina kuwa ya viwango na yenye kuzingatia vipimo.
Foundation Installation Masonry
TZ
From TZS 40,000/day
Iringa ...
10 years
2 months
Sisi NaseTech Enterprises ni wataalamu wa mifumo ya umeme wa majumbani, viwandani na umeme wa jua(Solar) CCTV Cameras, Alarm systems,Networking, Electric fence. Huduma zetu zinakufikia popote pale ulipo Pia tuna kuuzia vifaa ambavyo ni imara kabisa na vinavyo dumu Kwa muda mrefu
Solar Electricity
TZ
From TZS 25,000/day
Nyamagana
6 years
Fundi wa kuweka mapambo katika nyumba
Gypsum Decoration
TZ
From TZS 40,000/day
Mwanza
9 years
Mimi nina uzoefu wa zaidi ya miaka 9 katika ufanyaji wa plumbingi katika nyumba na kwa ustadi wa hali ya juu kabisa na kuzingatia ubora nimefanya kazi nyingi mkoa wa mwanz na dar es salaam
Plumbing
TZ
From TZS 100,000/day
Kinondoni
10 years
Mtaalamu wa mambo ya ujenzi wa makazi aliyesomea na mwenye uzoefu wa muda mrefu, kutoka kwenye kusanifu ramani za nyumba, usanifu wa nadharia ya nje ya nyumba na bustani, pamoja na mambo ya makisio na mahesabu ya gharama za ujenzi. Lengo letu ni kukuwezesha kutimiza nyumba ya ndoto yako sasa, bila kujalisha kama ni ya gharama nafuu au mjengo wa heshima.
3D Rendering Building Designing Cost Estimation Landscape Designing Project Management Project Planning Technical Drafting
TZ
From TZS 40,000/day
Ubungo
9 years
Mimi ni msambazaji wa mbao za aina zote za ujenzi zenye dawa Kwa bei nafuu Sana kutoka mafinga na Njombe pamoja na mkoa wa Dar es salaam,Tabora, kahama, mkoa wa pwani unafikishiwa Hadi ulipo
Wood Work
TZ
From TZS 30,000/day
Temeke
5 years
Ninajenga vyoo vya kisasa visivyojaa wala kunyonywa kwa muda mrefu katika nyumba zote nchini Tanzania.
Masonry
TZ
From TZS 30,000/day
Ubungo
30 years
Mimi ni fundi wa kuweka tiels na kufanya plastering kwenye nyumba yako nyumba ya aina zote magorofa nyumba za kawaida mashuleni kwenye makampuni na nyumba za nyumbani pamoja na kuweka urembo kwenye nyumba yako
Biogas Installation
TZ
From TZS 15,000/day
Mufindi
8 years
Mimi ni fundi wa kufanya welding madirisha kwa ajili ya nyumba yako na uzoefu zaidi ya miaka tisa nafanya kazi hii kwa ubora kabisa na kwa kuzingatia vipimo
Welding
TZ
From TZS 30,000/day
Ubungo
10 years
Fundi wa kutengeneza maua katika ceiling board na kupendezesha nyumba.
Gypsum Decoration
TZ
From TZS 30,000/day
Mufindi
9 years
mimi ni fundi mwenye uzoefu wa kufanya kazi kuweka masinki chooni na kuweka tailis kwa ubora wa hali ya juu kabisa na kwa kusingatia ubora wa nyumba pamija na choo chako bila ya kusahau majikoni nako tunaweka
Flooring Tiling
TZ
From TZS 40,000/day
Arusha CBD
10 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu katika swala zima la kuweka mifumo ya bomba kwenye nyumba,naweka mifumo iliyo ya kisasa ya maji Safi na maji taka kwenye nyumba na vyooni pia nina mafundi ambao wamebobea katika kazi hii na ushauri mteja ana patiwa bure kabisa.
Plumbing
TZ
From TZS 30,000/day
ubungo
10 years
Fundi wa kutengeneza madirisha na milango ya aluminium, pia tunabuni na kutengeneza vyumba kutumia aluminium ndani ya nyumba
Door Installation Window Installation
TZ
From TZS 40,000/day
Ubungo
14 years
A skilled mason with extensive experience in both mechanical engineering and masonry. He began his training at Msimbazi Garage, later transitioning to masonry, where his competence and dedication quickly earned him the trust of his superiors. Over the years, Hildman has worked on significant projects, including building government structures like the Ubungo Communication Building and collaborating with JKT trainees. As an independent mason, he specializes in tile construction and general house building, consistently delivering high-quality results. His expertise and dedication have also enabled him to train many individuals who have gone on to become successful independent masons.
Masonry Tiling
TZ
From TZS 40,000/day
Kigamboni
11 years
3 months
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wa kuezeka Mapaa Kwa kutumia mabati ya aina mbali mbali kama vile Msouth migongo mipana na migongo midogo,Simba dumu pamoja na mabati ya vigae(versatile),pia mimi nifundi ambaye nabadilika kulingana na mazingira ya ufundi yanavyo badilika kama viile mitindo mipya ya uezekaji , hivyo nina muhakikishia mteja kuwa nina uwezo waku mjengea kile kilicho bora na hato weza kujutia kufanya kazi na mimi.
Sheet Roofing Shingle Roofing Tile Roofing
TZ
From TZS 40,000/day
Gairo
6 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wa miaka saba katika ufanyaji wa roofing kwenye nyumba. Nimebobea katika ufungaji, matengenezo, na ukarabati wa paa, nikitumia mbinu za kisasa na vifaa vya ubora. Uzoefu wangu unahakikisha kazi bora na kudumu, huku nikizingatia usalama na viwango vya hali ya juu. Nina ujuzi mzuri wa kuboresha ufanisi wa paa na kuridhisha wateja kwa matokeo ya kuaminika na ya muda mrefu.
Sheet Roofing Shingle Roofing Tile Roofing
TZ
From TZS 10,000/day
Town
15 years
Ustadi na uzoefu wa Hali ya juu kuhakikisha nyumba Yako haito vuja Kwa upauaji Bora kutoka kwetu tuna paua mabayi ya Sina tofauti tofauti Kwa nyumba zote
Sheet Roofing Shingle Roofing Wood Work
TZ
From TZS 30,000/day
Ubungo
7 years
Naweka tiles katika nyumba kwa maua tofauti tofauti kupendezesha nyumba na kuimarisha uwanja wakati wa mvua.
Paving
TZ
From TZS 35,000/day
Njombe ...
8 years
Civil Engineer 👷 Building design & Drawing Construction services | consultancy | Exterior | Interior designing.
architectural Bricklaying building_inspector cabinetry Carpentry civil_engineer closet_design concrete_work construction_manager cost_estimator exterior_painting fencing Flooring inspection_services interior_designer interior_painting Landscaping Masonry Painting Plastering Plumbing project_manager repairs roofing woodworking
TZ
From TZS 75,000/day
Ubungo
13 years
2 months
As a professional quantity surveyor, I lead a team of designers and builders to construct modern, high-quality homes in Tanzania and across East Africa. We use the most suitable technology to ensure construction meets the required drawings with high quality and accuracy. Our goal is to provide safe and comfortable residences for our clients, completing projects on time and within budget.
Flooring Tiling Landscaping Painting Waterproofing Bricklaying Masonry Plastering Stonework
TZ
From TZS 30,000/day
dar
11 years
mim ni fundi wa ufungaji wa mabomba maofisini majumbani na hata kwenye makampuni mbalimbali kwa kuzingatia ubora ulio na uaminifu mkubwa kama ilivyo kauli mbiu yetu
Plumbing
TZ
From TZS 30,000/day
Hai
9 years
Nina ujuzi wa kufanya skiming pamoja na kupaka rangi majumbani kwa kuzingatia ubora wa kisasa kwa ubunifu wa kisasa zaidi,pia nina toa ushauri bure kabisa kwa mteja wangu na kumfanya aridhike na kazi zangu
Painting
TZ
From TZS 40,000/day
Temeke
20 years
3 months
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wakutosha kwenye swala zima la kupaua Mapaa Kwani Nina uzoefu wa kutosha na nime fanya kazi nyingi hapa Tanzania na nchi jirani za Tanzania na gharama zangu ni nafuu kabisa na pia mteja anasikilizwa kwa kile anacho kihitaji na kuhakikisha anaridhika kabisa na upauaji wangu.
Sheet Roofing Shingle Roofing
TZ
From TZS 30,000/day
Ludewa
9 years
fundi plastering kwa nyumba yako kwa ustadi na uzoefu wa miaka tisa katika kazi hii ya plastering pamoja na uwekaji wa urembo kwenye nyumba yako kwa uaminifu na kwa bei ambayo ni rafiki
Plastering