Skip to content
  • Houses
  • Builders
  • Services
  • Learn
  • Account
    • Dashboard
    • My Profile
    • My Messages
    • Add Article
    • Add Service
  • Houses
  • Builders
  • Services
  • Learn
  • Account
    • Dashboard
    • My Profile
    • My Messages
    • Add Article
    • Add Service
0

User Profile

Makazi Network | +255-657-685-268
About | Contacts | Terms | Privacy
May, 2025
Love From Tanzania!

Adeltus Kato

TZ
From TZS 15,000/day
  • 0.0 Ratings
Mufindi
9 years
Mimi ni fundi wa kufanya welding madirisha kwa ajili ya nyumba yako na uzoefu zaidi ya miaka tisa nafanya kazi hii kwa ubora kabisa na kwa kuzingatia vipimo
Welding
Portifolio

Alhaji Mangare

TZ
From TZS 20,000/day
  • 0.0 Ratings
Dar
15 years
Fundi mwenye uzoefu wa kufanya plumbing katika nyumba zote, ghorofa, na nyumba za kawaida. Nina uzoefu wa miaka mingi katika kazi hii ya uwekaji wa mabomba. Niko Dar es Salaam naweza kuweka mabomba ndani na nje kwa matumizi ya maji safi na maji machafu, pamoja na mashimo ya maji taka.
Heating Installation Plumbing
Portifolio

Doviko Luoga

TZ
From TZS 30,000/day
  • 0.0 Ratings
Ubungo
15 years
Mimi ni mtaalam wa kutengeneza vyoo vya kisasa usisumbuke na karo la Maji Taka kamwe! Tuna mfumo bora wa kisasa wa choo usiojaa (BIODIGESTERS) ambao ni mfumo badala wa Mashimo ya kawaida ya choo! (septics and soakpits) Mfumo huu wa kisasa una sifa zifuatazo :- 1. haujai kamwe 2. hakivutwi – hakiitaji kunyonywa na motokaa (boza) 3. hakina harufu 4. Kinatumia eneo ndogo (small space) 4. Vina guarantee na vinafanywa na wataalam 5. Vinafanya vyema hata kwenye chemi chemi 6. Vina muonekano mzuri (vinapendeza kweli) 7. Unafanya vyema hata kwa manyumba makubwa yenye idadi kubwa ya watu. Tunatoa huduma kwa kila mtanzania kokote uliko tunakufikia.
Biogas Installation
Portifolio

Ally Chigwelo

TZ
From TZS 40,000/day
  • 0.0 Ratings
Mkuranga
17 years
Mimi ni fundi ujenzi mwenye uzoefu na niliye bobea kwenye swala zima la kuchimba msingi wa nyumba na kujenga hadi kwenye linta pamoja na kupiga plaster Kwa kutumia vipimo na vifaa pia nina toa ushauri bure Kwa mteja wangu kulingana na aina ya nyumba anayo itaka Kwa kuzingatia ukubwa wa eneo lake
Building Setting Out Plastering
Portifolio

Ally Mbulu

TZ
From TZS 20,000/day
  • 0.0 Ratings
Goba
9 years
Mini ni fundi wakutengeneza nyumba Kwakuzingatia ujuzi na ubunifu wa kisasa pia nina uzoefu wakutosha katika shughuli zangu za ujenzi na nina hakikisha nyumba ina kuwa yenye ubora wa hali ya juu na nina mpatia mteja wangu kile anacho kihitaji, pia nina ambatana na mafundi ambao wame bobea katika shuguli za ujenzi wa nyumba na kuhakikisha kazi ina kuwa ya viwango na yenye kuzingatia vipimo.
Foundation Installation Masonry
Portifolio

Ally Ninga

TZ
From TZS 40,000/day
  • 0.0 Ratings
Kinondoni
24 years
Mtaalamu wa kujenga na kurekebisha mapaa ya nyumba mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 23, anayepatikana Tanzania. Anajulikana kwa ustadi wake katika ujenzi wa mapaa ya nyumba, kupiga dari, pamoja na uwekaji kuta na mapambo ya gypsum. Ally amekuwa akitoa huduma kwa uaminifu mkubwa na amepata mafunzo maalum katika kuweka vigae vya Decra, hivyo kuhakikisha ubora katika kazi zake.
Brandering Ceiling Gypsum Decoration Sheet Roofing Gutter Installation Shingle Roofing Tile Roofing Timber Trussing
Portifolio
Load More

Join Membership

Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!

$6/ TSh 15K - 15,000 crd/week
$12/ TSh 30K - 30,000 crd/month
$40/ TSh 100K - 100,000 crd/year
Eng. Lwifunyo Mangula
Payment Challenges? WhatsApp Admin
Lost your password?