Estimators & Simulators
Fahamu makisio ya gharama na vifaa vya ujenzi wa nyumba yako
Kikokotozi hiki kinakusaidia kuchambua mahitaji yako ya kiwanja, nyumba gani ujenge, kujua gharama ya kujenga nyumba, gharama ya kila steji ya ujenzi wako (msingi, kuta, paa, maji, umeme…), kujua kiasi gani cha tofali na bati zitahitajika kujengea nyumba yako, kujua kiasi cha mkopo unaoweza kupata benki na kila mwezi utakuwa unarudisha kiasi gani benki. Hiki ... Read more
Crafts
Mambo 3 ambayo fundi unapaswa kuyamudu ili kukusaidia kupata kazi kwa urahisi zaidi.
Siku zote inahitajika ujuzi na makusudi ya dhati ili uweze kupata kazi au tenda za ujenzi kwa idadi ile unayoitaka. Kazi hutafutwa kwa maamuzi na sio kutegemea zije zenyewe bila jitihada. Ili upate kazi basi unapaswa ufanye kazi fulani ili uweze kupata kazi unayoitafuta. Unaweza ukawa na ujuzi na kipaji kizuri katika fani yako uliyonayo ... Read more
Cost
Njia 3 mahususi za kupata mtaji wa kujengea nyumba yako
Kuna njia nyingi za kupata mitaji ya ujenzi, hapa chini tumezichambua katika makundi makuu 3 ambayo yanaweza kukusaidia kujenga mtazamo wa namna ya kuweza kukamilisha mtaji wa kujengea nyumba yako. Mwisho wa siku utaweza jua ni ipi ambayo inakufaa zaidi kwako binafsi. Tumia Pesa yako binafsi uliyo nayo Kujenga yote kwa pamoja Kujenga kidogo kidogo ... Read more
Crafts
Kazi ya linta katika jengo
Linta ni moja ya kiungo katika jengo ambacho huwekwa juu ya sehemu zilizo achwa wazi katika kuta za jengo ili kubeba mzigo juu yake na kuupeleka salama mpaka katika maegemeo; ni kiungo kinachowekwa juu ya uwazi wa madirisha, milango, mageti n.k ili kuweza kubeba mzigo juu yake bila kunepa. Kiungo hiki ni muhimu kwani uwazi ... Read more
Defects
Kazi ya msingi katika nyumba
Msingi ni sehemu muhimu ya jengo ambayo huunganisha jengo na ardhi husika pamoja na kupeleka mzigo wa jengo kwa usalama kabisa katika ardhi. Pasipo msingi, jengo linakuwa halijakamilika na halipo salama. Kikawaida msingi hutumia gharama kubwa katika kujenga ukilinganisha na baadhi ya maeneo katika jengo, gharama hii kubwa inaashiria umuhimu na ulazima wa sehemu hii ... Read more
Defects
TATIZO LA NYUFA KATIKA NYUMBA YAKO
Kuna sababu nyingi za nyufa katika nyumba zetu za makazi; kwa ujumla vinyufa vyembamba katika kuta, dari, lipu n.k inaweza kuwa ni alama ya kusinyaa na kutanuka kwa sehemu mbalimbali katika nyumba yako ambako kwaweza kuwa kunasababishwa na unyevunyevu, joto, mabadiliko ya kikemikali katika vifaa vilivyotumika kujengea nyumba (rangi, maji, cement, nondo…) ambayo husababisha kusinyaa ... Read more
Finishing & Home Decoration
MAANA YA SEBULE – INAPASWA IWEJE?
Sebule kwa kawaida ni sehemu ya ndani ya nyumba ambayo ni maalumu kwa kupumzikia, kujumuika na kupokelea wageni. Kuna muingiliano wa maneno haya living room – sitting room – lounge – lounge room – front room kutegemea na eneo na mabadiliko ya kitamaduni. Maana ya sebule mimi binafsi nimeiona ipo katika KUPUMZIKA, KUJUMUIKA na KUPOKEA ... Read more
Welfare & Better Housing
UDHIBITI WA TAKA KATIKA NYUMBA NA MIFUMO YAKE
Tuzungumze kuhusu swala zima la kudhibiti taka katika nyumba zetu za kuishi bila kujali ni ya kwako au ni ya kupanga. Kwanza, maana ya takataka ni kitu au vitu ambavyo havifai tena, havitumiki tena, si vya muhimu tena. Japo hiyo tafsiri haijakamilika vizuri. Tafsiri nyingine inasema kwamba, takataka ni vitu ambavyo kwa muda huo si ... Read more