Kwa uwekaji mzuri wa nyumba yako na yenye ubori pia yenye kutumia ujuzi wa kisasa kabisa kwa fundi Mshana na bei ni poa kabisa na uaminifu ni mkubwa – Makazi | Home
Makazi | Home
0 Sign In
Rate
TZS 30,000 / day day
Duration
15 day Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
continental Area
0.0
0
28
0
Quantity (day)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Hasani Mwilende
Hasani Mwilende
designer Click here to WhatsApp the provider!

Details

Mimi ni fundi mwenye uzoefu wa miaka sita katika ufanyaji wa finishing kwenye nyumba. Nimebobea katika kazi za uchoraji kupaka rangi na kupangilia vitu ndani ya nyumba. Kwa kutumia umakini na ubunifu ninahakikisha matokeo bora na huduma ya hali ya juu. Uzoefu wangu na kujali maelezo madogo hufanya kazi zangu kuwa za kipekee na za kuridhisha.

Materials Included

  • Mchanga
  • per-room
  • cement
  • per-room

Quality & Control Plan

Safety Control Kwa kuvaa vifaa vya usalama Kuepuka vitu vya hatari
Quality Control Kwa ukaguzi wa mara kwa mara
Budget Control Kupanga bajeti
Schedule Control Kuweka malengo ya kipindi
Satisfaction Control Kwa kufuatilia maoni ya mteja

Category

Plastering

Chronology

Published12 Sep 2024

Modified12 Sep 2024

AuthorHasani Mwilende

Tags

No tags available

Service Data

Category
Plastering
Type
Physical Work
Rate
TZS 30,000 / day
Duration
15 day
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
continental
Provider
Hasani Mwilende
Hasani Mwilende |
0.0 (0)
| 0 Services
No other services found.
Comments
No reviews recorded