Details
Nina ujuzi wa kupiga plasta kwa kuzingatia ubora wa hali ya juu na kwa kuzingatia ubunifu wa kisasa na kuacha nyumba yako ikiwa na mvuto wa kisasa zaidi pia nina msikiliza mteja wangu kwa ukamilifu zaidi na nina hakikisha mteja wangu ana ridhika na kazi yangu na pia mteja wangu nampatia gharama nzima za ujenzi na kuhakikisha pia kazi yake ina isha kwa wakati.
Materials Included
- Cement
- per-kilogram
- Mchanga
- per-tonne
Quality & Control Plan
Safety Control
Tuna zingatia usalama wa kazi kwani shughuli za upigaji wa plasta zina fanyika site
Quality Control
Nina zingatia ubora wa kupiga plasta
Budget Control
Nina mpatia mteja wangu gharama nzima za upigaji wa plasta
Schedule Control
Nina zingatia ratiba
Satisfaction Control
Nina hakikisha mteja ame ridhika na kazi yangu
Chronology
Published9 Sep 2024
Modified9 Sep 2024
AuthorFrancies Chitila