Mimi ni fundi naweka urembo kwenye nyumba kwa kutumia cement na mchanga nina uzoefu mkubwa katika uwekaji huo urembo kwenye nyumba kwa kutumia cement na mchanga nimeweka urembo kwa hii nyumba tofauti tofauti mkoani iringa njombe ina morogoro nimefanya kazi na makampuni na watu binafsi na kazi za serikali katika wekaji wa urembo na ufanyaji wa plastering kwenye nyumba kwa kuzingatia ubora ulio nao
Published4 Sep 2024
Modified4 Sep 2024
AuthorJames Mtwere