Details
Nina ujuzi wa kutengeneza madirisha ya aluminium kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa hali ya juu pia nina mpatia mteja wangu gharama nzima zitakazo tumika kwenye ujenzi pia nina zingatia muda wa kukamilisha kazi yangu kama tulivyo kubaliana na mteja wangu na nina hakikisha natumia vipimo kwenye ujenzi na kufunga madirisha vyema kabisa na kuiacha nyumba ikiwa na mvuto wa hali ya juu.
Materials Included
- Madirisha ya aluminium
- per-item
Quality & Control Plan
Safety Control
Nina zingatia usalama wa kazi na shughuli zote zina fanyika site
Quality Control
Nina zingatia ubora wa kazi kwani nina tumia vipimo
Budget Control
Nina mpatia mteja wangu gharama nzima za uwekaji wa madirisha
Schedule Control
Nina zingatia ratiba ya ufanyaji wa kazi
Satisfaction Control
Nina hakikisha mteja wangu ana ridhika na kazi yangu
Category
Window Installation
Chronology
Published18 Sep 2024
Modified18 Sep 2024
AuthorMwaimu Saidi