Details
Nina toa huduma ya ufungaji wa wiring Kwa kuzingatia ubora na niko na mafundi walio bobea katika swala Zima la hii kazi na tuna hakikisha mteja wetu ana ridhishwa na kazi zetu kwani tuna mpatia orodha nzima ya vifaa tutakavyo vihitaji na kumaliza Kwa muda tulio kubaliana
Materials Included
- Nyaya za umeme
- per-item
- Switch
- per-item
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote za wiring Zina fanyika hapo hapo site hivyo usalama ni wakutosha kabisa
Quality Control
Tuna zingatia ubora wa nyaya za umeme Tunazingatia ufungaji mzuri Ili kuzuia nyumba kupata shoti
Budget Control
Tuna zingatia ubora wa kazi na kuhakikisha mteja ana patiwa gharama nzima ya material zitakazo tumika
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi ina kabidhiwa Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Mteja kwetu ni mfalume hivyo tuna hakikisha anapata kile alicho kitarajia
Category
Electricity Safety, Wiring
Chronology
Published22 Aug 2024
Modified22 Aug 2024
AuthorIbrahim Makbel