Nina toa huduma za ununuzi, ujenzi Kwa kutumia tangastone na burning bricks na ubunifu wa nyumba(House design) ndani ya nchi na nchi jirani za Africa, tumesha fanya kazi sehemu nyingi na tuna uzoefu wa kutosha usio pungua Miaka sita pia tuna fanya kazi zenye viwango na kuhakikisha mteja ana ridhika na kazi zetu na kwa wale wateja wanao hitaji ushauri tunatoa ushauri bure kabisa kabla ya mteja kuchukua hatua yakujenga ili kuhakikisha kazi ina kuwa yenye viwango na mvuto mzuri.