Namna ya kujenga na kurekebisha kuvuja paa kwa nyumba za contemporary (zilizofichwa paa/ hidden roof)
Nyumba za contemporary au hidden roofing zimekuwa ni moja ya staili ya nyumba ambazo watu wengi kwa sasa wanapenda kuzijenga haswa vijana maana ndizo zilizo za ‘kisasa’ kwa sasa! Nyumba hizi zimekuwa zinavutia watu wengi sababu ya mwonekano wake wa boksi, ubapa na kona nzuri zilizoibeba nyumba na kuifanya kuvutia. Uzuri wake ni rahisi sana […]
Orodha ya ramani za nyumba zinazofaa kujengea nyumba ndogo Tanzania
Nini uhalisia wa nyumba ndogo? Tunapokuja katika swala la ujenzi wa makazi ya kuishi familia, basi kuna mambo amabyo yamekuwa kama sheria ambayo yanaamua aina ya nyumba ambazo tunajenga. Baadhi ya mambo ni kama bajeti, tamaduni, majirani, hali ya hewa, staili… Kiujumla ktk jamii yetu tunapozungumzia nyumba ndogo tunamaanisha ni zile nyumba ambazo zinatumia nafasi […]
Gharama za ujenzi wa nyumba yako
Hapa tunachambua kuhusu gharama za ujenzi wa nyumba yako! Je, gharama hizi zinatoka wapi? Kwanini zifike hapo? Vipengere gani vya ujenzi vinaunda hizo gharama? Mgawanyiko wa hizo gharama upoje kwa kila steji ya ujenzi? Njia rahisi ya kufanya makadirio ya gharama ya ujenzi. Kumbuka hapa tunazungumzia kuhusu nyumba ya kuishi familia. Hapa utaweza kupata mwanga […]
FANYA HIVI KUPUNGUZA GHARAMA ZA UJENZI
Moja ya mambo ambayo yamekuwa yakishughulisha na kufikilisha akili za watu wengi ni swala la ujenzi. Jambo ambalo haswa limekuwa lenye kusababisha hiyo tafakari kubwa ni namna ya kuweza kufanikisha gharama zinazohitajika. Gharama ni jumla ya nguvu, rasilimali na uwezo ambao unahitajika ili uweze kupata kitu ambacho unakitaka. Katika ujenzi, gharama huangukia katika rasilimali […]