Details
Nina ujuzi wa kuweka tiles kwenye nyumba Kwa kutumia vifaa vyangu ambavyo vina niwezeshe kukata tiles na kutumia pima maji ambayo ina nisaidia kutoa kuweka mteremko na kufanya kuwe na usawa ,pia nina msikiliza mteja wangu kwa kile anacho kihitaji na kumpatia mahesabu ya gharama kulingana na aina ya nyumba na ushauri nina mpatia bure kabisa mteja wangu
Materials Included
- Tiles (Per Second)
- Cement (Per Second)
- Mchanga (Per Second)
Quality & Control Plan
Safety Control
Nina hakikisha nina weka tiles sehemu nzuri ambayo ni ngumu Kwa mtu yeyote kuzi angusha na kuzi haribu
Quality Control
Nina hakikisha napima eneo langu la kazi vizuri
Nina hakikisha tiles nazikata Kwa uangalifu na vipimo
Nina hakikisha natumia pima maji ili kuwe na usawa
Budget Control
Nina hakikisha nampatia mteja wangu bajeti ya tiles na idadi ya cement zitakazo hitajika pamoja na mchanga ndio ngapi
Schedule Control
Nina hakikisha namalizia kazi yangu Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Nina hakikisha namsikiliza mteja wangu Kwa kazi niliyo ifanya na kuzingatia ushauri wake
Chronology
Published7 Aug 2024
Modified7 Aug 2024
AuthorRamadhani Koja