Details
Nina uzoefu wa kutengeneza sehemu za jikoni Kwa ubunifu na kufanya jiko lako libaki na ubora wa hali ya juu na Nina tumia vipimo na vifaa vinavyo niwezesha kukata tiles na kuziweka vizuri kwenye chumba cha jiko na pia nina mpatia mteja wangu bajeti nzima ya tiles zitakazo tumika kwenye ujenzi na kumsikiliza ushauri wake
Materials Included
- Tiles (Per Second)
- Cement (Per Second)
- Mchanga (Per Second)
Quality & Control Plan
Safety Control
Nina hakikisha nina weka tiles sehemu nzuri ambayo ningumu kwamtu kuingia na kuziharibu
Quality Control
Nina hakikisha natumia vipimo vilivyo bora na vya kisasa
Nahakikisha nakata tiles zanguvizuri Kwa vipimo
Nahakikisha napima eneo langu la kazi vyema
Budget Control
Nina piga gharama ya material zitakazo tumika kwenye ujenzi wangu
Schedule Control
Nina hakikisha na maliza kazi yangu Kwa muda tulio kubaliana.
Satisfaction Control
Nina muuliza mteja atoe maoni yake kulingana na ubora wa kazi yangu
Chronology
Published7 Aug 2024
Modified7 Aug 2024
AuthorRamadhani Koja