Details
Nina uzoefu wa kutosha wa kuweka tiles kwenye vyoo kwa kutumia njia nzuri za kisasa na kufanya choo chako kipendeze Sana Kwa kutumia vifaa vyangu vina vyo niwezeshe kupima na kukata tiles,pia nina msikiliza mteja wangu yeye anataka Choo chake kiwe je na Nina mpatia gharama ya tiles pamoja na ushauri pale unapo hitajika
Quality & Control Plan
Safety Control
Nina hakikisha nina weka tiles sehemu nzuri ambayo siyo rahisi Kwa mtu kuzi haribu
Quality Control
Nina tumia vipimo vinavyo niwezesha kupima eneo langu la kazi
Nina tumia vifaa vinavyo niwezesha kukata tiles
Budget Control
Nina piga mahesabu ya gharama zitakazo tumika kwenye swala zima la kuweka tiles kwenye Choo cha mteja wangu
Schedule Control
Nina hakikisha namalizia kazi Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Namuuliza mteja wangu azungumzie kuhusu kazi yangu yeye ana ionaje
Chronology
Published7 Aug 2024
Modified7 Aug 2024
AuthorRamadhani Koja