Details
Nime weka tiles kwenye kuta nyingi hivyo nina uzoefu wa kutosha na nina tumia vipimo kuhakikisha tiles ina nyooka na kupendeza ,pia mteja anasikilizwa Kwa maoni yake na kile anacho taka na tuna piga bajeti nzima ya material zitakazo tumika kwenye ujenzi huo
Materials Included
- Tiles (15 Sq Metre)
- Cement (2 Sq Metre)
Quality & Control Plan
Safety Control
Kazi zote zina fanyika site hivyo ulinzi upo wa kutosha
Quality Control
Tunazingatia vipimo
Tuna zingatia uchanganyaji mzuri wa cement
Budget Control
Tuna mpatia mteja garama nzima ya material zitakazo tumika kwenye uwekaji wa tiles
Schedule Control
Tuna hakikisha tuna maliza kazi Kwa muda tulio kubaliana na mteja
Satisfaction Control
Tuna hakikisha tuna weka tiles vizuri ili mteja aridhike na tuna uchukua ushauri wake
Chronology
Published13 Aug 2024
Modified13 Aug 2024
AuthorHalid Muya