Details
Nina utalam wa kupendezesha mabafu kwa kuweka tiles na kuliacha bafu lako likiwa lina pendeza Kwani nina tumia vipimo ambavyo vina nisaidia kupima eneo la kuweka tiles na ika pendeza, pia nina msikiliza mteja wangu na kumfanya aweze kuridhika na kazi yangu
Materials Included
- Tiles (30 Sq Metre)
- Cement (1 Sq Metre)
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuhuli zote za ujenzi zina fanyika site hivyo ulinzi ni wakutosha
Quality Control
Tuna zingatia ubora wa kuchanganya cement na mchanga vizuri ili ishike kwenye ukuta
Tuna zingatia vipimo ili kusaidia kupima na kukata tiles
Budget Control
Nina hakikisha mteja ana patiwa bajeti nzima ya uwekaji tiles
Schedule Control
Nina hakikisha namaliza kazi zangu Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Nina hakikisha mteja ana ridhika na kazi yangu
Chronology
Published13 Aug 2024
Modified13 Aug 2024
AuthorHalid Muya