Details
Nina uwezo wa kuweka tiles pamoja na urembo Kwa kutumia tiles na kufanya nyumba yako iwe na mvuto na thamani pia mteja anasikilizwa yeye anataka ua la aina gani na tuna msaidia Kwa ushauri na kumpatia mahesabu ya gharama zitakazo tumika.
Materials Included
- Tiles (15 Sq Metre)
- Cement (1 Sq Metre)
Quality & Control Plan
Safety Control
Kazi zote zina fanyika site hivyo uangalizi ni mkubwa kabisa
Quality Control
Tunazingatia uchanganyaji nzuri wa mchanga na cement
Tuna zingatia vipimo ili kuepusha kukosea kukata tiles
Budget Control
Tuna hakikisha mteja ana patiwa orodha nzima ya material yatakayo tumika
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi inaisha Kwa muda tulio kubaliana na mteja
Satisfaction Control
Tuna hakikisha tuna weka tiles yenye ubora na kumfanya mteja aridhike
Chronology
Published13 Aug 2024
Modified13 Aug 2024
AuthorHalid Muya