Details
Mimi ni fundi niliye bobea kwenye swala zima la upauaji wa Mapaa na Nina tumia vipimo kwenye kuweka kenchi ili kufanya paa lije kuwa na slope nzuri ,pia mteja ana sikilizwa na tuna panga nae bajeti nzima ya gharama zitakazo tumika kwenye upauaji wa nyumba
Materials Included
- Mbao (240 Item)
- Mbao (250 Item)
- Mbao (50 Item)
- Misumari (50 Per Kilogram)
- Misumari (3 Per Kilogram)
- Misumari (3 Per Kilogram)
- Mabati (250 Metre)
- Kofia (24 Metre)
- Valley (15 Metre)
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote zina fanyika site hivyo usalama ni wa kutosha kabisa.
Quality Control
Tuna hakikisha tuna tumia vipimo
Tuna hakikisha mteja tuna mshauri atumie vifaa Bora na vya kisasa
Budget Control
Tuna mpatia mteja wetu mahesabu ya gharama zote zitakazo enda kutumika kwe upauaji
Schedule Control
Tuna hakikisha mteja ana kabidhiwa kazi yake Kwa muda sa hihi
Satisfaction Control
Mteja ana sikilizwa atoe maoni yake Kwa yeye ana onaje kazi yetu inavyo kwenda.
Category
Corrugated Sheet Roofing, Shingle Roofing
Chronology
Published13 Aug 2024
Modified13 Aug 2024
AuthorCosma Heptas