Details
Nina uzoefu wa kutosha nikiwa na fanya ujenzi huu wa kupaua Mapaa na nina badilika kulingana na mazingira yanavyo taka ili kumfanya mteja wangu aridhike na kazi ninayo ifanya, pia tuna piga mahesabu ya gharama zitakazo tumika kwenye upauaji na mteja ana sikilizwa kwa kile anacho taka
Materials Included
- Mbao (Item)
- Mbao (15 Item)
- Misumari (20 Per Kilogram)
- Misumari (2 Per Kilogram)
- Misumari (2 Per Kilogram)
- Mabati (250 Item)
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote za ujenzi zina fanyika site hivyo ulinzi ni wakutosha
Quality Control
Tuna zingatia vipimo kwenye ufungaji wa kenchi na kufanya bati liwe na slope nzuri
Budget Control
Tuna mpatia mteja gharama zitakazo tumika kwenye ujenzi na kumpa njia rahisi ya kupunguza gharama
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi inaisha Kwa muda ulio pagwa
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi yetu
Category
Corrugated Sheet Roofing, Shingle Roofing
Chronology
Published15 Aug 2024
Modified15 Aug 2024
AuthorSalumu Muhenga