Nina ujuzi wa kutengeneza Mapaa ya kuchimbia bila bati kuonekana Kwa upande wa nje na kutengeneza slope nzuri na njia nzuri za maji ili kuepusha maji kutuama kwenye paa na pia nina msikiliza mteja yeye anataka paa lake liwe na muonekano wa namna gani na kumpatia mahesabu ya gharama husika zitakazo tumika kwenye ujenzi pia natoa ushauri bure kabisa Kwa wateja wangu
Published5 Aug 2024
Modified5 Aug 2024
AuthorMuharami Kinguku