Details
Nina ujuzi wa kuweka tiles kwenye kuta za majumbani Kwa kutumia vipimo ambavyo vina niwezeshe kupima eneo langu la kazi na tiles zilizo Bora kwa mteja wangu na Nina mpatia ushauri bure kabisa mteja wangu ili apate kilicho bora na kuifanya nyumba yake iwe na mvuto
Materials Included
- Tiles (15 Sq Metre)
- Cement (1 Sq Metre)
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote zina fanyika eneo la site hivyo ulinzi ni wakutosha
Quality Control
Mteja kwetu ni mfalme hivyo anapewa ushauri bure
Tunazingatia uchanganyaji mzuri wa cement na mchanga ili iweze kushika kwenye kuta
Budget Control
Mteja ana pewa gharama nzima itakayo tumika kwenye ujenzi
Schedule Control
Tuna hakikisha tuna maliza ujenzi Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Mteja ana ulizwa Kwa namna anavyo iona kazi yetu kama Una ridhisha au la na kusikilizwa ushauri wake
Chronology
Published14 Aug 2024
Modified14 Aug 2024
AuthorJuma Mohammed