Details
Nina ubunifu wa kuweka urembo kwenye nyumba Kwa kutumia tiles na kuiacha nyumba yako ikiwa na mvuto Kwani nina tumia vipimo ambavyo vina nisaidia kupima eneo langu la kuweka tiles na kukata Kwa umakini sana ,pia mteja kwangu ni mfalme hivyo anasikilizwa Kwa kile anacho kihitaji na bajeti ya gharama zitakazo tumika ina pigwa na kumpatia mteja
Materials Included
- Tiles (15 Sq Metre)
- Cement (50 Sq Metre)
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli za uwekaji tiles zina fanyika site hivyo ulinzi ni mkubwa sana
Quality Control
Tuna mshauri mteja atumie tiles zilizo imara
Tuna hakikisha tuna changanya cement na mchanga vizuri ili iweze kushika kwenye sakafu na kwenye kuta
Budget Control
Mteja ana patiwa mahesabu yote ya gharama zitakazo tumika Kwa kazi nzima
Schedule Control
Nahakikisha kazi ina kabidhiwa Kwa mteja ndani ya muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Mteja kwetu ni mfalme hivyo anasikilizwa Kwa alivyo Iona kazi yetu na tuna uchukua ushauri wake
Chronology
Published14 Aug 2024
Modified14 Aug 2024
AuthorJuma Mohammed