Details
Nina ujuzi wa kuweka tiles kwenye sakafu za majumbani Kwani Nina uzoefu wa kutosha na nina tumia vifaa ambavyo vina niwezesha kupima eneo langu la kazi vyema na kujua tiles kiasi gani zitatumika na nina msikiliza mteja wangu Kwa kile anacho kihitaji akione kwenye nyumba yake na pia tuna piga gharama nzima ya tiles na material zingine zitakazo tumika kwenye ujenzi
Materials Included
- Tiles (15 Sq Metre)
- Cement (1 Sq Metre)
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote za uwekaji wa tiles zina fanyika site hivyo ulinzi ni wakutosha
Quality Control
Tuna mshauri mteja anunue tiles zenye ubora na imara
Tuna hakikisha tuna changanya cement na mchanga vizuri ili iweze kushika kwenye sakafu
Budget Control
Tuna mpatia mteja wetu gharama nzima ya ujenzi kulingana na eneo husika
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi ina Isha ndani ya muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Mteja ana sikilizwa kama ameridhishwa na kazi yetu au la na kusikiliza ushauri wake
Chronology
Published14 Aug 2024
Modified14 Aug 2024
AuthorJuma Mohammed