Details
Nina ujuzi wa kuezeka Mapaa Kwa kutumia mabati ya kisasa ambayo Yana uwezo wakulifanya paa lako livitie na pia nina msikiliza mteja anataka paa lake lakaevipi, pia nina mpatia gharama zitakazo tumika kwenye upauaji na ushauri pale unapo hitajika
Materials Included
- Mabati Msouth (Per Second)
- Mbao (Per Second)
- Fisher board (Per Second)
- Kofia (Per Second)
- Valley (Per Second)
- Misumari (Per Second)
Quality & Control Plan
Safety Control
Nina hakikisha vifaa vyote vya ujenzi vipo sehemu nzuri inayo onekane
Quality Control
Nina hakikisha mbao zina sukwa vizuri
Nina hakikisha bati Lina kuwa na slope nzuri
Budget Control
Nina mpatia mteja wangu garama zote zinazo hitajika kwenye kupaua
Schedule Control
Nina hakikisha kazi ina Isha Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Nina msikiliza mteja anipe maoni yake kulingana na kazi yangu
Category
Corrugated Sheet Roofing, Shingle Roofing
Chronology
Published7 Aug 2024
Modified7 Aug 2024
AuthorJuma Njora