Details
Nina ujuzi wa kuezeka Mapaa Kwa muda wa miaka mingi na Kwa kutumia vifaa vilivyo Bora na imara ambavyo vina nisaidia kupima mbao na kukata Mabati na kulifanya paa lako lipendeze na slope nzuri,pia mteja ana sikilizwa Kwa kile anacho taka na kupewa gharama nzima ya material zitakazo hitajika kukamilisha uezekaji.
Materials Included
- Mbao (140 Per Single Floor House 150 Sqm)
- Mbao (95 Per Single Floor House 150 Sqm)
- Misumari (35 Per Kilogram)
- Misumari (2 Per Kilogram)
- Misumari (2 Per Kilogram)
- Mbao (30 Per Single Floor House 150 Sqm)
- Rangi (10 Per Single Floor House 150 Sqm)
- Bati (79 Per Single Floor House 150 Sqm)
- Kofia (18 Per Single Floor House 150 Sqm)
- Valley (5 Per Single Floor House 150 Sqm)
Quality & Control Plan
Safety Control
Kazi zote zina fanywa site hivyo ulinzi ni mkubwa na sio rahisi kuibuwa wala kupotea
Quality Control
Tuna hakikisha tuna mtajia mteja kampuni ambazo zina vifaa vizuri na vya kisasa
Budget Control
Tuna andaa gharama nzima ambayo inatumika kwenye upauaji wa nyumba nzima na kumpatia mteja wetu
Schedule Control
Nina hakikisha mteja ana kabidhiwa kazi yake Kwa muda tulio pangiana
Satisfaction Control
Mwisho tuna msikiliza mteja ana toa maoni gani kwenye kazi yetu ya upauaji
Category
Corrugated Sheet Roofing, Shingle Roofing
Chronology
Published12 Aug 2024
Modified12 Aug 2024
AuthorJofrey Msapila