Details
Tunatengeneza mapaa aina zote, marefu au mafupi kwa kutumia mabati ya migongo mipana ya msauzi
Materials Included
- mabati ya msauzi (198 Per Floor Multi Storey 150 Sqm)
Quality & Control Plan
Safety Control
Kuvaa vifaa vya usalama kama mabuti na helment
Kuhifadhi vitu sehemu salama baada ya kumaliza siku
Quality Control
Kukata vipande vya mabati kwa umakini kwa maeneo yanayohitajika
Kutengeneza paa lenye ubora na muonekano mzuri
Budget Control
Kumaliza kazi kwa wakati
Kuweka mpangilio mzuri wa matumizi ya vifaa vya kazi.
Kuwa na vibarua wachache na wachapakazi
Schedule Control
Kufanya kazi asubuhi mpaka jioni kwa siku
Satisfaction Control
Kukabidhi kazi kwa wakati
Kusikiliza maelekezo ya mteja kwa makini kabla ya kuanza kazi
Category
Corrugated Sheet Roofing
Chronology
Published6 Aug 2024
Modified6 Aug 2024
AuthorDavid Mafup