Details
Napaua nyumba za kawaida na za kisasa Kwa kutumia vifaa Bora na Kwa umakini wa hali ya juu, namsikiliza mteja, nampa bajeti ya gharama za vifaa(material) kulingana na aina ya nyumba anayo taka kupaua ,pia kwenye ujenzi na hakikisha paa Lina kuwa na slope nzuri ili Kufanya nyumba ipendeze na mteja aridhike na kazi yangu.
Materials Included
- mbao (Item)
- mabati (Item)
- misumari (Per Kilogram)
Quality & Control Plan
Safety Control
shuguli zote za uezekaji zina fanyika site hivyo usalama ni mwakutosha kabisa
Quality Control
nina zingatia ubora wa vipimo
nina zingatia ubora wa vifaa vya kuezekea paa
Budget Control
nina hakikisha mteja ana pata makadirio yote ya kazi nzima
Schedule Control
nina hakikisha kazi ina kamilika kwa wakati tulio kubaliana na mteja wangu
Satisfaction Control
mteja kwangu ni mfalume hivyo nina msikiliza maponi yake atakayo enda kunipatia kulingana na kazi yangu niliyo ikabidhi.
Category
Corrugated Sheet Roofing, Shingle Roofing, Tile Roofing
Chronology
Published1 Aug 2024
Modified1 Aug 2024
AuthorAlly Ngunge