Kwa painting nzuri ya nyumba yako na yenye ubora pia yenye kutumia ujuzi wa kisasa kabisa kwa fundi Mshana na bei ni poa kabisa na uaminifu ni mkubwa – Makazi | Home
Makazi | Home
0 Sign In
Rate
TZS 50,000 / day day
Duration
13 day Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
continental Area
0.0
0
31
0
Quantity (day)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Hasani Mwilende
Hasani Mwilende
designer Click here to WhatsApp the provider!

Details

Mimi ni fundi mwenye uzoefu wa miaka sita katika ufanyaji wa finishing kwenye nyumba. Nimebobea katika kazi za kupaka rangi Kwa kutumia umakini na ubunifu ninahakikisha matokeo bora na huduma ya hali ya juu. Uzoefu wangu na kujali maelezo madogo hufanya kazi zangu kuwa za kipekee na za kuridhisha .

Materials Included

  • Rangi
  • per-room

Quality & Control Plan

Safety Control Kuvaa kofia ngumu mabuti na gloves
Quality Control Kutumia rangi bora
Budget Control Rangi bora kwa bei nafuu
Schedule Control Site kwa wakati baada ya kakubaliano
Satisfaction Control Kukagua tukiwa na kabla ya kuondoka site

Category

Painting

Chronology

Published12 Sep 2024

Modified12 Sep 2024

AuthorHasani Mwilende

Tags

No tags available

Service Data

Category
Painting
Type
Physical Work
Rate
TZS 50,000 / day
Duration
13 day
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
continental
Provider
Hasani Mwilende
Hasani Mwilende |
0.0 (0)
| 0 Services
No other services found.
Comments
No reviews recorded