Details
Nina toa huduma ya kupaka rangi za epoxy floor majumbani na maofisini kwa kuzingatia ubora wa kisasa na ubunifu wa hali ya juu pia nina safisha sakafu yangu vyema kabla ya kuweka rangi ya epoxy floor na kufanya sakafu ivutie kwa ubora wa hali ya juu pia kwa huduma hizi mteja wangu namfikia popote pale Tanzania na nchi jirani za Afrika
Materials Included
- Rangi ya epoxy floor
- per-item
Quality & Control Plan
Safety Control
Nina zingatia usalama wa kazi yangu
Quality Control
Nina zingatia ubora wa hali ya juu Nina hakikisha sakafu yangu ni safi zaidi
Budget Control
Nina mpigia mahesabu ya gharama nzima zitakazo tumika kwenye uwekaji wa epoxy floor
Schedule Control
Nina zingatia muda wa kumaliza kazi
Satisfaction Control
Nina hakikisha mteja wangu ana ridhika na kazi zangu
Chronology
Published9 Sep 2024
Modified9 Sep 2024
AuthorMsuva Allu