Details
Nina ujuzi wa kupaka rangi aina ya drewa na conmix kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa na kwa kuzingatia ubora wa hali ya juu pia nina tumia rangi za conmix na drewa ili kuhakikisha nyumba yako ina kuwa ya kisasa zaidi pia mteja ana sikilizwa kwa kile anacho kihitaji kukuona kwenye nyumba yake na pia nina hakikisha kazi zote zinaisha kwa wakati.
Materials Included
- Conmix colour
- per-item
- Drewa color
- per-item
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli za upakaji wa rangi zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Nina zingatia ubora wa kisasa zaidi kwa kuzingatia rangi nzuri
Budget Control
Nina hakikisha mteja ana patiwa gharama zote
Schedule Control
Nina hakikisha ratiba ina fuatwa Kazi zina Isha kwa wakati
Satisfaction Control
Nina hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi zetu
Chronology
Published9 Sep 2024
Modified9 Sep 2024
AuthorSamir Koba