Nina tengeneza mabanda ya kuku na Bata yenye ngazi na yasiyo na msingi wa matofali kwa ubora na kisasa zaidi. – Makazi | Home
Makazi | Home
0 Sign In
Rate
TZS 125,000 / m² m²
Duration
5 day Time
Coverage
— Scope
Advance
60% Deposit
Payments
2 Installments
Boundary
countrywide Area
0.0
0
141
0
Quantity (m²)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Nicodemus Gard
Nicodemus Gard
Fundi mabanda ya kuku wa kisasa na kienyeji Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ujuzi wa kutengeneza mabanda ya kuku ambayo hayana msingi wa matofali kwa kuzingatia ubora na umakini wa hali ya juu na pia mabanda haya yana ngazi ambazo zina muwezesha kuku kuingia kwenye banda bila shida yeyote ile na pia nina mpatia mteja wangu gharama nzima za ujenzi wa banda na nina hakikisha kazi ina kamilika kwa wakati pia ushauri kwangu ni bure kabisa kwani nina uzoefu wa kutosha hivyo ina nisaidia kumshauri mteja wangu ili apate kilicho bora.

Materials Included

  • Mbao
  • 2×4
  • 50
  • per-metre
  • Mbao
  • 2×3
  • 50
  • per-metre
  • Misumari
  • 5 nch
  • 10
  • per-kilogram
  • Misumari
  • 4 nch
  • 20
  • per-kilogram
  • Misumari
  • 2 nch
  • 4
  • per-kilogram
  • Misumari
  • Misumari ya bati
  • 5
  • per-kilogram

Quality & Control Plan

Safety Control Shuguli za utengenezaji wa banda zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control Nina zingatia vipimo vya banda
Budget Control Nina hakikisha mteja ana patiwa gharama nzima za utengenezaji wa banda
Schedule Control Nina kamilisha kazi yangu kwa wakati
Satisfaction Control Nina hakikisha mteja ana ridhika na kazi yangu

Category

Carpentry, Masonry, Wood Work, House Building

Chronology

Published10 Sep 2024

Modified11 Oct 2024

AuthorNicodemus Gard

Tags

No tags available

Service Data

Category
Carpentry, Masonry, Wood Work, House Building
Type
Physical Work
Rate
TZS 125,000 / m²
Duration
5 day
Advance Payment
60%
Number of Payments
2
Boundary
countrywide
Provider
Nicodemus Gard
Nicodemus Gard |
0.0 (0)
| 0 Services
No other services found.
Comments
No reviews recorded