Tunajenga mabanda ya tofali yaliyoozekwa bati kwa ajili ya kuku na mifugo kwa gharama na viwango vya unafuu popote Tanzania. – Makazi | Home
Makazi | Home
0 Sign In
Rate
TZS 275,000 / m² m²
Duration
14 day Time
Coverage
— Scope
Advance
50% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
countrywide Area
0.0
0
347
0
Quantity (m²)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Rhymes Raphael
Rhymes Raphael
Fundi wa mabanda ya mifugo na Majiko ya Kupikia Click here to WhatsApp the provider!

Details

Tunajenga mabanda ya tofali na kuezekwa bati kwa ajili ya kuku na mifugo kwa gharama nafuu na viwango vya unafuu popote nchini Tanzania. Ufundi wetu umejikita kuhakikisha linakuwa linaloweza tumika lakini kikubwa liwe la gharama nafuu na kutumika kwajili ya ufugaji wako. Banda lako litajengwa kulingana na ukubwa ambao utauchagua mteja na eneo amablo utachagua popote Tanzania. Kwa kuongeza tunatoa ushauri wa kitaalamu kuhusu ujenzi wa mabanda ya mifugo kama kuku mbwa ng'ombe bata njiwa mbuzi... Lengo letu ni kusaidia wafugaji nchini Tanzania kuboresha uzalishaji wao kwa gharama ambazo ni rafiki kwa bajeti zao.

Materials Included

  • Mbao
  • 2×4
  • per-item
  • Mbao
  • 2×2
  • per-item
  • Bati
  • Kwa ajili ya kuezekea banda
  • per-item
  • Misumari
  • 1.5 inch
  • per-kilogram
  • Misumari
  • 4 inch
  • per-kilogram
  • Misumari
  • 3 inch
  • per-kilogram
  • Cement
  • per-item
  • Mchanga
  • per-item
  • Nyavu
  • per-item
  • Others
  • per-item

Quality & Control Plan

Safety Control Kazi zote za utengenezaji wa banda la kuku zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control Nina zingatia ubora wa kujenga banda
Budget Control Nina hakikisha mteja ana patiwa gharama nzima za ujenzi wa banda lake
Schedule Control Nina zingatia muda wa kufanya kazi
Satisfaction Control Nina hakikisha mteja wangu ana rudhika na kazi zangu

Category

Carpentry, Masonry, Wood Work, House Building

Chronology

Published11 Sep 2024

Modified11 Oct 2024

AuthorRhymes Raphael

Tags

No tags available

Service Data

Category
Carpentry, Masonry, Wood Work, House Building
Type
Physical Work
Rate
TZS 275,000 / m²
Duration
14 day
Advance Payment
50%
Number of Payments
3
Boundary
countrywide
Provider
Rhymes Raphael
Comments
No reviews recorded