Nina toa huduma ya kujenga mabanda ya kuku ya mbao yakuhamishika yanayodumu kwa muda mrefu na ya kisasa. – Makazi | Home
Makazi | Home
0 Sign In
Rate
TZS 185,000 / m² m²
Duration
7 day Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
countrywide Area
0.0
0
595
0
Quantity (m²)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Rhymes Raphael
Rhymes Raphael
Fundi wa mabanda ya mifugo na Majiko ya Kupikia Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ujuzi wa kutengeneza mabanda ya kuku ya mbao kwa kuzingatia ubora wa kisasa na ubunifu wa hali ya juu. Kimo cha banda kinakuwa around 1 - 1.5m. Pia ninaangalia ubora wa banda kuwa la kudumu kwa muda mrefu zaidi. Ninahakikisha mteja wangu anaridhika na kazi yangu kwani kwangu mteja ni mfalme. Pia ninatoa ushauri wa kutosha kwa mteja wangu na kumhakikishia gharama kamili za ujenzi wa banda la kuku.

Materials Included

  • Mbao
  • 2×4
  • 50
  • per-item
  • Mbao
  • 2×2
  • 30
  • per-item
  • Bati
  • Kwa ajili ya kuezekea banda
  • 30
  • per-item
  • Misumari
  • 1.5 inch
  • 4
  • per-kilogram
  • Misumari
  • 4 inch
  • 4
  • per-kilogram
  • Misumari
  • 3 inch
  • 3
  • per-kilogram

Quality & Control Plan

Safety Control Kazi zote za utengenezaji wa banda la kuku zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control Nina zingatia ubora wa kujenga banda
Budget Control Nina hakikisha mteja ana patiwa gharama nzima za ujenzi wa banda lake
Schedule Control Nina zingatia muda wa kufanya kazi
Satisfaction Control Nina hakikisha mteja wangu ana rudhika na kazi zangu

Category

Carpentry, Wood Work

Chronology

Published11 Sep 2024

Modified11 Oct 2024

AuthorRhymes Raphael

Tags

No tags available

Service Data

Category
Carpentry, Wood Work
Type
Physical Work
Rate
TZS 185,000 / m²
Duration
7 day
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
countrywide
Provider
Rhymes Raphael
Comments
No reviews recorded