Details
Hili ni banda la mbwa mmoja. Kiujumla tunatengeneza mabanda ya mbwa ambayo yana uwezo wa kumfaa mbwa mmoja na kuendelea. Pia nina zingatia usalama wa mbwa kwani mabanda yanawekewa makomeo imara ili mbwa awe salama zaidi. Aidha ninampatia mteja wangu gharama kamili ya utengenezaji wa banda la mbwa na ninahakikisha kumpatia ushauri bure kabisa.
Materials Included
- Mbao
- 2×4
- 15
- per-item
- Mbao
- 2×2
- 10
- per-item
Quality & Control Plan
Safety Control
Nina zingatia ubora wa kazi pia ujenzi unafanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Nina zingatia vipimo Nina zingatia ubora wa vifaa
Budget Control
Nina mpatia mteja wangu gharama nzima za ujenzi wa banda
Schedule Control
Nina zingatia muda wa kuanza kazi yangu na kumaliza kazi yangu
Satisfaction Control
Nina hakikisha mteja wangu ana ridhika na kazi yangu
Category
Carpentry, Wood Work
Chronology
Published11 Sep 2024
Modified11 Oct 2024
AuthorRhymes Raphael