Details
Nina ujuzi wa kuweka tiles kwenye sakafu kwa kuzingatia ubora wa kisasa na kwa kuzingatia vipimo ili kufanya sakafu ibaki na ubora wa kisasa pia nina msikiliza mteja wangu kwa kile anacho kihitaji na kuhakikisha pia mteja ana pata ushauri kwa kulingana na aina ya nyumba ana yo taka kuweka tiles pia tuna mpatia mteja wetu gharama nzima ya uwekaji wa tiles
Materials Included
- Tiles
- per-square-metre
- Cement
- per-kilogram
Quality & Control Plan
Safety Control
Tuna fanya uwekaji wa tiles site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna zingatia vipimo Tuna zingatia ukataji mzuri wa tiles
Budget Control
Tuna mpatia mteja wetu gharama nzima zitakazo tumika kwenye uwekaji wa tiles
Schedule Control
Tuna zingatia muda
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi zetu
Chronology
Published3 Sep 2024
Modified3 Sep 2024
AuthorMkonde Hassan