Details
Nina ujuzi wa kuweka tanga stone majumbani kwa kuzingatia ubora wa kisasa na kuzingatia vipimo kwa ubora na kisasa zaidi pia mteja wetu ana patiwa ushauri wa aina gani ya tanga stone atumie kulingana na nyumba yake pia mteja ana sikilizwa kwa kile anacho kihitaji na ana patiwa gharama nzima ambayo itatumika kwenye ujenzi wa tanga stone na kuacha nyumba ya mteja wetu iki pendeza
Materials Included
- Tanga stone
- per-square-metre
- Cement
- per-kilogram
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli za ukataji wa tanga stone na uwekaji zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Nazingatia ubora wa vipimo
Budget Control
Nina hakikisha mteja ana patiwa gharama nzima ya uwekaji wa tanga stone
Schedule Control
Nina hakikisha naenda na wakati
Satisfaction Control
Nina hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi zangu
Chronology
Published3 Sep 2024
Modified3 Sep 2024
AuthorMkonde Hassan