Details
Nina uzoefu wa kuweka tiles katika kuta ya vyoo na majiko ya nyumba ghorofa pamoja na maofisi katika maeneo mbalimbali hapa nchini kwa ufanisi wa hali ya juu. Kazi zangu ni nzuri na zinapendeza katika gharama nafuu kabisa. Pia ninabuni na kutengeneza maua ya aina mbalimbali kupendezesha jiko katika nyumba kwa kuchora na kukata tiles.
Materials Included
- tiles, cement, mchanga
- tiles zenye maua
- 15
- per-item
Quality & Control Plan
Safety Control
Kuweka tiles sehemu nzuri kuepuka kupasuka kabla ya kufanyiwa kazi, pia kutumia vifaa maalumu kukatia tiles
Quality Control
Kutumia cement nzuri ili tiles kushika vizuri pamoja na kutumia vifaa maalumu kukatia tiles
Budget Control
Kuhakikisha kazi inaisha kwa muda mfupi kuepuka matumizi makubwa ya fedha ya kujengea
Schedule Control
Kufanya kazi kila siku katika kipindi chote cha kujenga
Satisfaction Control
Kumaliza kazi kwa wakati na kuikabidhi kwa mteja katika muda tuliokubaliana
Chronology
Published20 Sep 2024
Modified20 Sep 2024
AuthorDeusdedith Kalisa