Details
Nina ujuzi wa kuweka tiles kwenye sakafu za nyumba na kuacha nyumba yako ikiwa na mvuto wa kutosha pia nina hakikisha mteja ana patiwa gharama nzima ya uwekaji wa tiles kulingana na square meter ya eneo ambalo anaweka tiles pia nina mpatia mteja wangu ushauri bure kabisa pia nina ambatana na mafundi walio bobea kwenye uwekaji wa tiles
Materials Included
- Tiles
- per-square-metre
- Cement
- per-kilogram
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli za uwekaji wa tiles Zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna zingatia ubora wa tiles Tuna zingatia vipimo
Budget Control
Tuna hakikisha mteja ana patiwa gharama nzima ya uwekaji wa tiles
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi zinaishia kwa wakati
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi zetu
Chronology
Published3 Sep 2024
Modified3 Sep 2024
AuthorRashidi Idawa