Tunakaribisha wateja wote wanaotafuta vitanda vya kisasa vilivyotengenezwa kwa ubora wa hali ya juu kutumia mbao ngumu za mninga na mkongo. Vitanda vyetu vina muundo wa kipekee unaochanganya ubunifu wa kisasa na uimara wa mbao za asili, vikitoa mwonekano wa kifahari katika chumba chochote cha kulala. Mninga na mkongo ni aina za mbao zinazojulikana kwa kudumu kwa muda mrefu, kustahimili mitikisiko na kutoa rangi ya asili ya kuvutia. Kila kitanda tunachotengeneza kinapambwa kwa staili inayovutia na kumfurahisha mteja. Njoo tukuhudumie kwa bidhaa bora zinazostahili thamani ya fedha yako. Bei hii ni kwa 6×6… ila tunaweza tengeneza kitanda chako kulingana na ukubwa unaotaka wewe.
Other Services from Furniture Designing, Wood Work Categories
You May Like Again
Cancellation:
Return / Exchange:
Other Profesionals
Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!