Tuna ezeka Mapaa ya nyumba za aina zote Kwa kutumia mabati ya aina mbali mbali pia tuna uzoefu wa kutosha na tuna hakikisha mteja ana rizika na huduma yetu kwani tuna fanya Kwa uweledi wa hali ya juu na tuna msikiliza mteja na kutoa ushauri pale unapo hitajika ili mteja aweze kuridhika pia gharama zetu ni nafuu kabisa.
Name | Specifications | Quantity | Unit |
---|---|---|---|
Mbao | Fisher board, mbao za kenchi fupi na ndefu Kwa Mita 20 na 12 | per-square-metre | |
Misumari ya kupaulia | misumari ya kofia na misumari ya kenchi | per-square-metre | |
Mabati ya kupaulia | Msouth migongo mipana na migongo midogo, mabati mfano wa kigae (versatile), Rough roma (mabati yenye chenga chenga), Rough royal roma | per-square-metre | |
Waya wa kufungia kenchi | per-second | ||
Kofia(valley) | per-second |
Other Services from Sheet Roofing, Shingle Roofing, Tile Roofing Categories
You May Like Again
Cancellation:
Return / Exchange:
Other Profesionals
Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!