Discover Services

Aug 2024
Kwenye nyumba yako tunafanya plastering kwenye nyumba kwa ubora kabisa na kwa kuzingatia
Plastering
Worldwide
TZS 24,000 – 33,000
Second
Second

Aug 2024
Nina toa huduma ya ufungaji wa mifumo ya maji safi na maji taka kwenye nyumba za aina zote ndani na nje ya nyumba Kwa kutumia mabomba imara, Kwa huduma hii nafika mikoa yote hapa Tanzania na nchi jirani za Africa
Plumbing
Countrywide
TZS 240,000 – 330,000
Square Metre
Square Metre

Sep 2024
nina-toa-huduma-ya-kupiga-skiming-kali-zenye-ubora-na-kuhakikisha-nyumba-ina-kuwa-na-mvuto-wa-kisasa-na-kwa-huduma-hizi-nafika-mikoa-yote-tanzania
Painting
Countrywide
TZS 28,000 – 38,500
Square Metre
Square Metre

Aug 2024
Tuna toa huduma ya kupendezesha majengo ndani nani na nje Kwa kupaka rangi(painting ) Kwa kutumia vifaa na rangi zenye ubora Kwa mikoa yote ya Tanzania na nchi jirani za Africa
Painting
Countrywide
TZS 240,000 – 330,000
Square Metre
Square Metre

Aug 2024
Tunatoa huduma ya kufunga solar majumbani Kwa kutumia solar panel zenye ubora na zinazo dumu Kwa muda mrefu, Kwa huduma hii tunakufikia popote pale ndani ya Tanzania na nchi jirani za Africa
Solar Electricity
Countrywide
TZS 240,000 – 330,000
Room
Room

Sep 2024
ninaweka-urembo-kwenye-nyumba-mzuri-wa-urembo-kwenye-nyumba-yako-kutumia-cement-na-mchanga-huu-uliochanganywa-kwa-ubora-ili-kufanya-urembo-dumu-kwa-mu
Plastering
Worldwide
TZS 24,000 – 33,000
Day
Day

Aug 2024
Nina toa huduma ya uwekaji wa mapaa kwa mabati ya msouth mikoa yote nafika Tanzania
Sheet Roofing, Shingle Roofing
Countrywide
TZS 400,000 – 550,000
Single Floor House [150 SQM]
Single Floor House [150 SQM]

Sep 2024
nina-toa-huduma-ya-ufungaji-wa-cctv-camera-majumbani-na-maofisini-na-kuhakikisha-usalama-wa-a-nyumba-yako-una-kuwa-bora-kabisa
Security Systems
Countrywide
TZS 40,000 – 55,000
Item
Item

Oct 2024
Tuna nunua, tuna kata na pia tunafanya ujenzi Kwa kutumia tanga stone pamoja na burning bricks Kwa ubora na kisasa zaidi na kufanya nyumba iwe na mvuto
Tiling
Countrywide
TZS 16,000 – 22,000
Square Metre
Square Metre

Aug 2024
Nina jihusisha na uwekaji wa tiles majumbani Kwa ubunifu na kisasa , Kwa huduma hii nafika mikoa yote ya hapa Tanzania na nchi jirani za Africa
Tiling
Countrywide
TZS 2,400 – 3,300
Square Metre
Square Metre

Aug 2024
Nina toa huduma ya ufungaji wa mabomba kwenye vyoo Kwa kuzingatia ubora wa kisasa zaidi, Kwa huduma hii nakufikia popote ulipo Tanzania
Plumbing
Countrywide
TZS 240,000 – 330,000
Square Metre
Square Metre

Aug 2024
Nina toa huduma ya kupiga plasta ndani na nje ya nyumba kwa ubora na umakini wa hali ya juu,Kwa mahitaji ya huduma hii nafika mikoa yote hapa Tanzania na nchi jirani za Africa
Plastering
Countrywide
TZS 400,000 – 550,000
Single Floor House [150 SQM]
Single Floor House [150 SQM]

Aug 2024
Nina toa huduma ya ufungaji wa solar majumbani na maofisini Kwa kuzingatia ubora wa kisasa zaidi ,Kwa huduma hii tunakufikia mikoa yote hapa Tanzania na nchi jirani za Africa
Solar Electricity
Countrywide
TZS 240,000 – 330,000
Item
Item

Aug 2024
Nina toa huduma ya upauaji wa ya kisasa Kwa kutumia mabati ya Msouth migongo mipana na midogo Kwa ubunifu wa hali ya juu ndani ya Tanzania na nchi jirani za Africa
Sheet Roofing, Shingle Roofing, Tile Roofing
Countrywide
TZS 1,200,000 – 1,650,000
Single Floor House [150 SQM]
Single Floor House [150 SQM]

Jul 2024
Tunakutengenezea grill imara za chuma za madirisha za kisasa za aina mbalimbali kwajili ya nyumba haswa za contemporary
Welding, Window Installation
Continental
TZS 48,000 – 66,000
Square Metre
Square Metre

Sep 2024
Mabati ya vigae fundi bora kwa uwekaji wake kwa bei poa kwa kuzingatia pia uwekajia ambao ni bora zaiz na uzoefu mkubwa kwa fundi Gogfrey
Tile Roofing
Countrywide
TZS 32,000 – 44,000
Day
Day

Jul 2024
Tunatoa ushauri wa mambo ya ujenzi wa nyumba katika nyanja za mahitaji yako, gharama, mikopo, za kupangisha
Building Designing, Cost Estimation, Landscape Designing, Project Management, Project Planning, Sustainable Designing, House Building
Worldwide
TZS 40,000 – 55,000
Hour
Hour

Aug 2024
Natengeneza aluminium za madirisha na milango
Window Installation
Continental
TZS 160,000 – 220,000
Item
Item

Sep 2024
Kwa ufanyaji wa wiring katika nyumba yako yenye kuzinatia mfumo bora wa uwekaji wa umeme na wenye kutumia uzoefu na ujuzi kutoka katika mafunzo ya TAN
Wiring
Countrywide
TZS 16,000 – 22,000
Day
Day

Aug 2024
Nina funga mabomba ya maji Safi na maji taka kwenye vyoo vya aina zote, Kwa huduma hii unaweza kuipata popote pale ndani ya Tanzania na nchi jirani za Africa
Plumbing
Countrywide
TZS 160,000 – 220,000
Room
Room

Aug 2024
Nina toa huduma ya kufunga Alarm system (intruder alarm system) Kwa kuzingatia ubora wa kisasa zaidi na ubunifu wa hali ya juu
Security Systems
Countrywide
TZS 440,000 – 605,000
Item
Item

Aug 2024
Nina ujuzi wa kuweka tiles kwenye vyoo na mabafu vya aina zote Kwa kuzingatia ubora na njia ya kisasa huduma hii unaweza kupata ndani ya Tanzania na nchi jirani za Africa
Tiling
Countrywide
TZS 2,400 – 3,300
Square Metre
Square Metre

Sep 2024
Ninaweka tiles katika nyumba mbalimbali ikiwemo ghorofa, tunaweka urembo jikoni, sebuleni, na pia tunajengea makaburi kwa tiles katika ufanisi mzuri.
Tiling
Continental
TZS 720,000 – 990,000
Single Floor House [150 SQM]
Single Floor House [150 SQM]

Aug 2024
Nina toa huduma ya uwekaji wa tiles majumbani kwa kuzingatia vipimo na ubunifu wa kisasa, Kwa huduma hii nakufikia popote ulipo Tanzania na nchi jirani za Africa
Tiling
Countrywide
TZS 2,800 – 3,850
Square Metre
Square Metre
Hire Builders
TZ
From TZS 30,000/day
- 0.0 Ratings
Temeke
9 years
Fundi wa kupaua nyumba mabati ya msauzi pamoja na kufanya brandering
Brandering Sheet Roofing
TZ
From TZS 30,000/day
- 0.0 Ratings
Temeke
9 years
5 months
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wakutosha katika swala zima la uchomeleaji wa mageti,magrili, madirisha na vitanda nina uzoefu wa kutosha na nina tumia vifaa vilivyo Bora na vinavyo niwezesha kufanya kazi Kwa ufanisi, pia kwa huduma hii naweza kuku fikia popote pale Tanzania na tuna hakikisha mteja wetu anapata kile kilicho bora na kufurahia kazi zetu.
Steel Fixing Door Installation Gate Installation Welding Window Installation
TZ
From TZS 30,000/day
- 0.0 Ratings
Amani
15 years
Mimi ni fundi ninaye yanya upauaji wa nyumba kwa kutumia bati ainazote na nina uzoefu wa zaidi ya miaka 14 katika ufanyaji wa kazi hii na nimefanya kazi nyingi mkoa wa Dar es slaam na mkoani Morogoro na baei zetu ni poa kabisa
Sheet Roofing Shingle Roofing
TZ
From TZS 50,000/day
- 0.0 Ratings
Kigamboni
11 years
Mimi ni fundi niliye bobea kwenye uwekaji wa tiles pamoja na urembo Kwa kutumia tiles, Nina uzoefu wa kutosha pia nina tumia vipimo ili kuhakikisha nyumba ina kuwa na muonekano mzuri na ushauri ni bure kabisa Kwa wateja wangu kuhusiana na aina ya tiles mteja anayotaka kutumia
Tiling
TZ
From TZS 30,000/day
- 0.0 Ratings
Temeke
10 years
Mimi nifundi ninaye jihusisha na swala zima la uwekaji urembo kwenye nyumba Kwa kutumia mchanganyiko wa cement na mchanga Kwa ubunifu wa hali ya juu na nina uzoefu wa kutosha nikiwa na fanya kazi hii.
Plastering
TZ
From TZS 30,000/day
- 0.0 Ratings
ubungo
10 years
Fundi wa kutengeneza madirisha na milango ya aluminium, pia tunabuni na kutengeneza vyumba kutumia aluminium ndani ya nyumba
Door Installation Window Installation
TZ
From TZS 50,000/day
- 0.0 Ratings
Ukonga
21 years
Fundi hamisi fundi wa dizaini kwenye nyumba yako finishing ya kibabe finishing aina yote ya gypsum painting ya rangi kwa nje wall decoration
Gypsum Decoration Drywall Installation
TZ
From TZS 15,000/day
- 0.0 Ratings
songea ...
10 years
mimi Egno tembo ni fundi umeme mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka sita katika ufungaji wa maswala ya umeme napatikana songea mjini ila mikoani nako nafika
Wiring
TZ
From TZS 10,000/day
- 0.0 Ratings
Town
15 years
Kwa uwekaji wa njia za maji kwenye nyumba Yako au Kwa ubora wa Hali juu Kwa kitumia vifaa inara na njia za kisasa kabisa
Plumbing
TZ
From TZS 90,000/day
- 0.0 Ratings
Madale
10 years
Dynamic and creative engineer with over 6 years’ hands-on experience in overseeing all aspects of civil infrastructural engineering projects from inception to completion. Adept at leveraging expertise in process optimization and project management to facilitate safe and cost-effective operations.
architectural Bricklaying Carpentry civil_engineer concrete_work exterior_painting Flooring foundation_repair guttering interior_painting Landscaping Masonry Plastering Plumbing project_manager repairs roofing septic_systems Stonework Tiling Waterproofing Welding Wiring woodworking
TZ
From TZS 40,000/day
- 0.0 Ratings
Temeke
34 years
Ninahusika na kazi za Upigaji wa plasta pamoja na uwekaji wa urembo kwenye Kuta kwa kutumia cement na mchanga
Ninauzoefu wa kufanya kazi ndani ya Dar es Salaam,mikoa mbali mbali ndani ya Tanzania
Tailoring Plastering
TZ
From TZS 30,000/day
- 0.0 Ratings
Ubungo
30 years
Mimi ni fundi wa kuweka tiels na kufanya plastering kwenye nyumba yako nyumba ya aina zote magorofa nyumba za kawaida mashuleni kwenye makampuni na nyumba za nyumbani pamoja na kuweka urembo kwenye nyumba yako
Biogas Installation