Namna ya kujenga na kurekebisha kuvuja paa kwa nyumba za contemporary (zilizofichwa paa/ hidden roof)

Nyumba za contemporary au hidden roofing zimekuwa ni moja ya staili ya nyumba ambazo watu wengi kwa sasa wanapenda kuzijenga haswa vijana maana ndizo zilizo za ‘kisasa’ kwa sasa! Nyumba hizi zimekuwa zinavutia watu wengi sababu ya mwonekano wake wa boksi, ubapa na kona nzuri zilizoibeba nyumba na kuifanya kuvutia. Uzuri wake ni rahisi sana […]
Orodha ya ramani za nyumba zinazofaa kujengea nyumba ndogo Tanzania

Nini uhalisia wa nyumba ndogo? Tunapokuja katika swala la ujenzi wa makazi ya kuishi familia, basi kuna mambo amabyo yamekuwa kama sheria ambayo yanaamua aina ya nyumba ambazo tunajenga. Baadhi ya mambo ni kama bajeti, tamaduni, majirani, hali ya hewa, staili… Kiujumla ktk jamii yetu tunapozungumzia nyumba ndogo tunamaanisha ni zile nyumba ambazo zinatumia nafasi […]
Rangi nyeupe ktk nyumba yako, maana na uzuri wake

Nyeupe ni rangi ambayo inaleta ladha fulani ktk maisha yetu ya kila Siku. Ni rangi inayo balance na rangi zote. Inaleta saikolojia ya usafi, unadhifu, utakatifu, unyoofu, amani, mwanzo mpya, ukamilifu, isiyo na makosa… Rangi nyeupe ni rangi ambayo ukiipaka ktk nyumba yako basi itaifanya nyumba yako ipendeze na pia wewe utaonekana wa kutofauti kwa […]
Fahamu zaidi unapotaka kujenga nyumba bati zisizoonekana (Contemporary houses za Kitanzania)

CONTEMPOARY HOUSES nini? – Contemporary maana yake ni MODERN. Hivyo hizi ni nyumba za kisasa zaidi (zinazo-trend) – Zinasifa za kuwa simple, smart, minimalistic, clear. Zina sura bapa(planes), box style, nyuzi pembe nne, straightness, rangi chache zaidi nyeupe na gray, open space, less privacy as freedom, madirisha na milango mikubwa – Zinatabia ya kutumia vifaa […]
Gharama za ujenzi wa nyumba yako

Hapa tunachambua kuhusu gharama za ujenzi wa nyumba yako! Je, gharama hizi zinatoka wapi? Kwanini zifike hapo? Vipengere gani vya ujenzi vinaunda hizo gharama? Mgawanyiko wa hizo gharama upoje kwa kila steji ya ujenzi? Njia rahisi ya kufanya makadirio ya gharama ya ujenzi. Kumbuka hapa tunazungumzia kuhusu nyumba ya kuishi familia. Hapa utaweza kupata mwanga […]
Idadi ya Bati za Kawaida ni Sawa na Migongo Mipana au Vigae Kiasi Gani?

[ihc-hide-content ihc_mb_type=”show” ihc_mb_who=”2,5″ ihc_mb_template=”1″ ] Kikokotozi hiki kinakusaidia kujua tofali za Bati za kawaida za Futi 10 ni sawa na Bati za migongo mipana au Vigae Decra Kaisi gani [super_form id=”13243″] [/ihc-hide-content]
Kubadili Idadi ya Tofali za Block Kuwa Kuchoma na Interlocking

[ihc-hide-content ihc_mb_type=”show” ihc_mb_who=”2,5″ ihc_mb_template=”1″ ] Kikokotozi hiki kinakusaidia kujua tofali za block nchi 6 ni sawa na tofali ngapi za interlocking na kuchoma [super_form id=”13228″] [/ihc-hide-content]
Makadirio ya kiasi cha zege na plasta

[ihc-hide-content ihc_mb_type=”show” ihc_mb_who=”2″ ihc_mb_template=”1″ ] [wpsm_highlight color=”yellow”]System hii inakusaidia kujua kiasi cha vifaa kinachohitajika kukamilisha kazi yako ya plasta au zege. Utaweza jua kaisi cha mchanga, kokoto na cement[/wpsm_highlight] [super_form id=”8955″] [/ihc-hide-content]
Fahamu makisio ya gharama na vifaa vya ujenzi wa nyumba yako

Kikokotozi hiki kinakusaidia kuchambua mahitaji yako ya kiwanja, nyumba gani ujenge, kujua gharama ya kujenga nyumba, gharama ya kila steji ya ujenzi wako (msingi, kuta, paa, maji, umeme…), kujua kiasi gani cha tofali na bati zitahitajika kujengea nyumba yako, kujua kiasi cha mkopo unaoweza kupata benki na kila mwezi utakuwa unarudisha kiasi gani benki. Hiki […]
Mambo 3 ambayo fundi unapaswa kuyamudu ili kukusaidia kupata kazi kwa urahisi zaidi.

Siku zote inahitajika ujuzi na makusudi ya dhati ili uweze kupata kazi au tenda za ujenzi kwa idadi ile unayoitaka. Kazi hutafutwa kwa maamuzi na sio kutegemea zije zenyewe bila jitihada. Ili upate kazi basi unapaswa ufanye kazi fulani ili uweze kupata kazi unayoitafuta. Unaweza ukawa na ujuzi na kipaji kizuri katika fani yako uliyonayo […]
Njia 3 mahususi za kupata mtaji wa kujengea nyumba yako

Kuna njia nyingi za kupata mitaji ya ujenzi, hapa chini tumezichambua katika makundi makuu 3 ambayo yanaweza kukusaidia kujenga mtazamo wa namna ya kuweza kukamilisha mtaji wa kujengea nyumba yako. Mwisho wa siku utaweza jua ni ipi ambayo inakufaa zaidi kwako binafsi. Tumia Pesa yako binafsi uliyo nayo Kujenga yote kwa pamoja Kujenga kidogo kidogo […]
Kazi ya linta katika jengo

Linta ni moja ya kiungo katika jengo ambacho huwekwa juu ya sehemu zilizo achwa wazi katika kuta za jengo ili kubeba mzigo juu yake na kuupeleka salama mpaka katika maegemeo; ni kiungo kinachowekwa juu ya uwazi wa madirisha, milango, mageti n.k ili kuweza kubeba mzigo juu yake bila kunepa. Kiungo hiki ni muhimu kwani uwazi […]
