Details
Nime bobea kwenye swala Zima la ufungaji wa mabomba Kwa kuzingatia vipimo na vifaa vyenye ubora wa kisasa pia niko na mafundi walio na ujuzi na walio bobea kwenye ufungaji wa mabomba pia nina msikiliza mteja na kumpatia maelezo ya kazi itakavyo kwenda Hadi kukamilika
Materials Included
- Mabomba ya maji (Metre)
- Cement (Per Kilogram)
Quality & Control Plan
Safety Control
Ulinzi ni wakutosha kwani shuguli zote za ufungaji wa mabomba Zina fanyika site
Quality Control
Tuna zingatia vipimo
Tuna zingatia ubora wa vifaa
Budget Control
Mteja anapatiwa gharama nzima ya ujenzi itakayo tumika
Schedule Control
Tuna hakikisha mteja ana kabidhiwa Kazi Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi zetu
Chronology
Published28 Aug 2024
Modified28 Aug 2024
AuthorPeter Wihenge