Details
Nina ujuzi wa kufunga mifumo ya maji kwenye vyoo kama vile bomba la kuogea,mabomba ya kunawia pamoja na masinki ya vyoo pia niko na mafundi wenye uzoefu wakutosha kwenye swala zima la ufungaji wa mabomba na mteja ansikilizwa kwa kile anacho kihitaji
Materials Included
- Bomba za choo (Item)
- Sinki la choo (Item)
Quality & Control Plan
Safety Control
Ulinzi ni wakutosha kwani shuguli zote za ufungaji wa mabomba Zina fanyika site
Quality Control
Tunazingatia ubora wa vifaa
Tuna zingatia vipimo
Budget Control
Mteja ana patiwa gharama nzima ya ujenzi
Schedule Control
Tuna hakikisha mteja ana kabidhiwa Kazi yake Kwa wakati tulio kubaliana
Satisfaction Control
Tuna mpatia mteja kile kilicho bora
Chronology
Published28 Aug 2024
Modified28 Aug 2024
AuthorPeter Wihenge