Details
Nina ujuzi wa kufunga ma Tanki ya maji majumbani Kwa kuzingatia ubora na umakini wa hali ya juu, pia niko na wasaidizi mahiri ambao kwa ujumla Wana fanya kazi iweze kuwa na mvuto wa kutosha
Materials Included
- Tanki (Item)
- Mabomba ya maji safi (Metre)
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli za uwekaji wa tank Zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna zingatia ubora na umakini wa hali ya juu kwenye kufunga mabomba
Budget Control
Nina hakikisha mteja ana patiwa gharama nzima ya uwekaji wa tank
Schedule Control
Kazi inaisha Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Mteja kwetu ni mfalume hivyo tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi yetu
Chronology
Published28 Aug 2024
Modified28 Aug 2024
AuthorShadhiri Pesambili