Details
Nina ujuzi wa kufunga ma Tanki ya maji majumbani Kwa kuzingatia vifaa na vipimo Ili kufanya maji ya we na presha kubwa na kufika Kila Kona ya nyumba pia nina mafundi walio bobea kwenye kazi hizi hivyo kazi inakuwa na ubora mkubwa
Materials Included
- Tanki (Item)
- Koki za maji (Item)
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli za uwekaji wa tank Zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Nina zingatia ubora wa vifaa
Nina hakikisha ubora wa vipimo
Budget Control
Mteja ana patiwa gharama nzima ya uwekaji wa tank
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi ina kabidhiwa Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Mteja kwetu ni mfalume hivyo tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi zetu
Chronology
Published28 Aug 2024
Modified28 Aug 2024
AuthorPeter Wihenge