Details
Nina ujuzi wa kuweka mifumo ya maji kwenye vyoo, kama vile mabomba ya mvua na kuweka vyoo vya kukaa kwenye nyumba na maofisini,pia nina zingatia ubora wa vifaa na mteja ana sikilizwa Kwa kile anacho kitaka kukiona kwenye choo chake
Materials Included
- Mabomba ya maji (Item)
- Cement (Per Kilogram)
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli za uwekaji wa mabomba Zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Nina zingatia ubora wa vifaa
Nina zingatia vipimo Ili kuruhusu maji kupita vizuri
Budget Control
Mteja ana patiwa gharama nzima ya ujenzi
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi inaisha Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Mteja kwetu ni mfalume hivyo tuna hakikisha ana ridhishwa na kazi zetu
Chronology
Published28 Aug 2024
Modified28 Aug 2024
AuthorShadhiri Pesambili