Nina ujuzi wa kutengeneza Mapaa Kwa kutumia mabati ya vigae kwa kutumia vipimo vinavyo niwezesha kupaua nyumba na kuifanya iweze kuwa na slope nzuri, pia mteja wangu nampatia idadi ya material zitakazo tumika na ushauri pale unapo hitajika ni bure kabisa ili Kufanya mteja aweze kuridhika na kazi yangu.
Published3 Aug 2024
Modified3 Aug 2024
AuthorDoviko Luoga