Nina paua Mapaa Kwa kutumia vipimo bora vina vyo nisaidia kutengeneza paa lililo nyooka na lenye slope nzuri pia nina mpatia mteja idadi ya material zitakazo tumika na kumpatia ushauri bure kabisa kulingana na aina ya nyumba anayo enda kupaua
Published3 Aug 2024
Modified3 Aug 2024
AuthorDoviko Luoga