Details
Nina uzoefu wakutosha kwenye swala zima la utengenezaji wa madirisha ya kuchomelea kwani nina tumia vifaa vyangu bora ili Kufanya kazi ina kuwa nzuri ,pia nina msikiliza mteja wangu kwa kile anacho kihitaji na pia nina mpatia budget nzima pamoja na ushauri pale unapo hitajika na nina hakikisha natumia vipimo ili kufanya kazi yangu kuzidi kuwa na mvuto na mteja aweze kuridhika na ubora wa kazi yangu.
Materials Included
- Mabomba ya chuma (Item)
- meza ya chuma (Item)
- cutting disk (Item)
Quality & Control Plan
Safety Control
Nina sehem nzuri ya kutunzia madirisha yangu pamoja na walinzi ambao Wana nisaidia kulinda ofisi yangu nyakati zote
Quality Control
Nina hakikisha Nina tumia mabomba ya liyo imara ya chuma
Nina hakikisha Nina paka rangi nzuri dirisha langu ili Kuzuia kutu
Budget Control
Nina andaa budget ya gharama zitakazo tumika na kumpatia mahesabu mteja wangu
Schedule Control
Nina hakikisha Nina tumia muda wangu vizuri ili nimalize kazi Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Nina muuliza mteja wangu baada ya kumaliza kazi anipe ushauri wake
Chronology
Published7 Aug 2024
Modified7 Aug 2024
AuthorShafii Hassani