Details
Nina uzoefu wa kutosha kwenye swala zima la utengenezaji wa mageti kwani nina tumia vifaa bora na vya kisasa na mabati magumu pia naweka vitasa imara ambavyo ni ngumu kuvunjika na nina msikiliza mteja wangu anataka geti lake liwe na muonekano gani na kumpatia mahesabu ya gharama zitakazo tumika pamoja na ushauri pale unapo hitajika
Materials Included
- Bati ngumu (Item)
- Vitasa (Item)
- (Item)
Quality & Control Plan
Safety Control
Nina watu wanao nisaidia kulinda eneo langu la kazi nyakati zote
Quality Control
Nina zingatia ubora wa mabati ya kutengenezea geti
Nina zingatia ubora wa rangi
Nina zingatia ubora vitasa ambavyo ni vigimu kuvunjika
Budget Control
Nina andaa ghara ya matumizi ambayo yataenda kutumika kwenye utengenezaji wa geti
Schedule Control
Nina hakikisha kazi ina kabidhiwa Kwa muda ambao tumekubaliana na mteja
Satisfaction Control
Mwisho kabisa namsikiliza mteja anipe maoni yake kulingana na kazi yangu alivyo iona
Chronology
Published7 Aug 2024
Modified7 Aug 2024
AuthorShafii Hassani